jamn naskia raha huku nlipo nafurah kuzaliwa muislam
2026-09-03 05:38:38
9
💫Ukhty 💫 :
iikaswida nime ielewa sana
2026-09-06 10:04:36
0
Fatma Khamis :
yote unay hii
2026-09-03 12:22:16
0
omarmwarabu732 :
kakangu Khalid nakuona apo full happy ht mm mefurahi qadiria raha
2026-09-03 11:37:20
0
phiner 💝 :
naomba full plz
2026-09-04 03:59:23
1
sanass💃 :
masha Allah🥰
uislam rahaa🤍
2026-09-03 05:24:27
2
hammam Albusaid :
nyie wawili sauti zenu za mfanano mashaallah tabarakallaAllah akutunzeni
2026-09-03 13:28:37
1
Mramo Junior :
hv youtube mwatumia jina gani
2026-09-05 04:33:48
0
♥️Atmaina 💗🥰 :
mashaallah
2026-09-03 07:48:15
1
myrah :
mashallah
2026-09-04 09:42:04
1
🦋Pretty.iddah 🦋🥰 :
waliwaunganishaa answariiiii na muhajirinaaaaa wakaingarisha madina wakaingarisha madinaa🥰❤️...such an interesting qaswida Masha Allah 🤏👌😌😊
2026-09-03 19:15:42
1
HEAVY DEE :
S. A. W
2026-09-04 11:50:55
0
صباح الورد Deeda :
nimeskia Raha sana hd nimesismkwa miwili jmn mungu awazidishie inshallah 🥰
2026-09-04 07:00:18
1
ummy munira :
naskia raha mwenyew wallah moyo wapata aman kabisa
2026-09-03 11:33:42
1
mama ayan :
MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH namuona maalim wangu MASHAALLAH Allah akuvue hili na lijalo, nuru ya furaha iwe nawe japo umekuwa mtu mzima ila unang'araa MASHAALLAH
2026-09-03 05:57:24
1
mwana hennaArtist :
maashallah uislam raha jmn🥰
2026-09-03 06:02:04
1
hammam Albusaid :
mashaallah sauti ya dhahabu wallahy
2026-09-03 13:22:48
1
Rehema Bakari :
mashallah🥰🥰🥰🥰
2026-09-03 17:53:14
1
𝕊ℍ𝔸𝔽𝕀𝕀 :
Maashallah ubarikiwe Sana ndugu 🤝🎉
nimeipata full YouTube ni raha sana🌹🫶💯
2026-09-07 06:55:18
1
cute b :
masha allah
2026-09-03 19:38:31
0
Hashim Ahmed :
2026-09-05 10:54:33
0
hawa :
Asalam alaykum kaka
2026-09-05 07:04:38
1
uuysh :
Haifi hadhi hii nzr sn
2026-09-04 08:43:13
0
shafao wa zenji :
mashallah
2026-09-04 07:58:31
0
min :
mashaaallh
2026-09-03 06:12:57
0
To see more videos from user @mtemyboy, please go to the Tikwm
homepage.