Kutok D kwenda 2 na L gari inatakiwa iwe imesimama au hata kwenye motion tu??
2026-10-27 07:10:40
0
EBM T770🚘 :
Swali unaweza kuibadili gia gali ikiwa inatembea kwa hizo auto au hadi usimame kwanza uweke kwenye L au 2 ndo gali ianze kutembea
2026-10-02 09:57:08
7
LeBron G.O.A.T 🍁🍁 :
Mungu akuongoze kaka
2026-10-27 07:47:10
5
James :
Nina miaka 5 leo ndio nimejua hiyo 2 na L😂
2026-10-26 16:18:45
3
jamesebenezer363 :
nimeipenda mwl
2026-10-28 09:23:48
0
jeff😎 :
shule ya muhimu wengi wanaendeshaa ila sio madereva
2026-10-28 08:45:15
0
Broken boy 111 :
Asante kwa ukumbusho kaka ila hapo kwe kuwe D alafu ukasimama haijivui gia zote hadi kua frii hua inabaki namba 1
2026-10-28 09:10:33
0
WILD SHOPPING 🛍️ :
Asante baba
2026-10-28 05:59:28
0
Geofrey Yohana :
asante kwa mwongozo wako
2026-10-28 07:05:15
0
Atu baby 😍 :
Swali kama nipo kwenye mlima nataka ludi kwenye 2 lazima nishike bleki ndo nibadili niachie blecki niongeze moto je haitaweza ludi nyuma nikagonga walo nyuma
2026-10-28 06:17:51
0
athuman lazy :
WAKUMBUSHE N PIA INAWEZA KUTUMIKA KWENYE TAA ZA BARABARANI UKIWA FOLENI UNASUBIRI TAA ZIWAKE UNAWEKA N ILI KUIFANYA GARI KUWA FREE BILA KUIKABA KOO PIA N UTUMIKA KWA NAMNA HIYO
2026-10-28 04:55:44
0
Fk spare & Transportation :
NB;UNAPOWEKA HIZO GEAR MAKE SURE GARI IMESIMAMA
2026-10-27 04:41:34
1
Annie 🫶 :
Nimeanza sasa kujifunza, nikinunua gari ntakuwa tayari nshajuaaaa🤣🤣🤣
2026-09-03 09:50:21
4
Masanja Deo :
Amina.
2026-10-26 20:21:43
1
Mercedes maresa :
thanks
2026-09-23 14:48:38
1
doreen57 :
Halidi magari ubarikiwe sn, nilienda driving ck 21 tu tn unaendesha dk 25 tu,nilimaliza Najua kuendesha gar tu matumizi ya vfaa vya ndani nimejifunza kwako Ahst sn 🙏🙏
2026-09-03 11:21:00
2
Paschalia💕 :
Hiyo gear no1 ni mwendo gani Mtaalam
2026-09-03 05:52:51
1
Robson Makocho :
sawa kaka 🫡
2026-10-28 07:48:12
0
Alex Sola lema :
mbona wanasema eti iyo L niyamalena
2026-10-27 21:14:26
0
Thomas Zinge :
Ahsante sana kaka kwakweli umenifundisha kitu kikubwa sana
2026-10-28 04:38:25
0
kluivert :
unabadili ukiwa umesimama au hivohivo kwenye mwendo?
2026-10-28 04:33:10
0
Ngosha80 :
vipi kuhusu sehemu za michanga
mingi na utelezi?
2026-10-03 08:05:07
0
Abdul_Aziz :
mm nikulize suali, je unaweza kubadilisha kutoka D kwenda N kati kati ya mwendo
2026-10-28 03:27:21
0
Aboubakar OG. :
MashaaAllah
2026-09-03 04:55:17
0
To see more videos from user @khalidimagaridodomamjini, please go to the Tikwm
homepage.