@abuu_tasneem: HAKUNA RIBA NAFUU MBELE YA ALLAH Mtume ﷺ amesema… Dirham moja ya riba anayokula mtu hali ya kuwa anajua ni riba, ni nzito zaidi mbele ya Allah kuliko kufanya zinaa mara 36. Hadithi hii imepokewa na Ibn Mājah (2298) kutoka kwa Ibn Mas‘ūd رضي الله عنه. #manhajsalaf #taqwa #quran #tawheed