@gracious.ngahatil: Daaahaaaa askri awaamini boda boda waricho kifanya wameshindwa kuvumilia Msafara upite Wajitosa barabalani😩😩😁😭🫣

gracious ngahatilwa
gracious ngahatilwa
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 05:11:08 GMT
170532
5479
362
184

Music

Download

Comments

feyh4n
Gem 🥰💝 :
leo watanzania wengi hawajaamka sawa
2026-09-29 10:54:17
128
demaya_official3
demaya_official :
nnachokiona kila tarehe 29 kutakuwa kunachangamka🥰
2026-09-29 11:12:25
58
enosreal406
UNIQUE JEWELRY :
Kumbukeni Leo ni Trh 29
2026-09-29 10:34:04
98
suzzbey
suzzbey :
sahv kila mtu afanye anachoona sahihi maan tuwaskiliza waoo halaf waoooo hawatuskilizii
2026-09-29 11:29:51
47
mbukwa5
mbukwa5 :
mm mwenyewe sijaamka vizuri kumbukemi Leo ni tare29
2026-09-29 14:03:37
15
farmerrrrrrrr382
AGRICULTURE DEALER🌱🥑 :
mbona kama nimeipenda hiyo [Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-29 17:03:52
0
eli.fred1
Elifred --GAIRO :
hii nchi kunasiku wananchi wanaamka wamewehuka
2026-09-29 13:05:53
19
user9254050843733
canna12 :
hii nchi uzuri wake siku hizi watu kujiamulia mambo na uzuri kila mtu anakumbuka kulinda mgongo😂
2026-09-29 12:51:22
30
mrs.twu
Mrs twu :
Tatizo lilianza Rais kujichagua kilichobaki kujiamulia mambo tu🤣🤣🤣
2026-09-29 16:27:29
30
samy_henna_design
Samy ✨🌸 :
Kunapoelekea gari za serikali zitatakiwa kukaa folen .....😂😂😂
2026-09-03 14:50:09
86
vdhaheer
veer dhaheer :
hio leooooo hiooooooooooooo😂😂😂
2026-09-29 14:56:07
1
sammjohh
samwel :
mtu unakaa foreni 3 hours
2026-09-03 11:49:02
46
user9165335214775
Happy Kissa :
siyo maeneo ya JKT hapo kweli
2026-09-03 11:44:42
8
jackline.manyoni
💞Honey❤ :
hii ndo nch nataka mm😂😂
2026-09-08 05:13:45
23
agizasokonitz
agizasokonitz :
mbona kama watu hamtaki kufwata sheria?
2026-09-03 16:16:28
11
noble4809
NOBLE :
askar wamehusikaje apo mana hao ni bodaboda taa zmeruhusu wakawa waenda kila mtu na njia yake
2026-09-03 19:51:08
6
supernike77188
Supernike7718 :
safi kabisa
2026-09-03 10:50:29
10
hamisishemzigwa
Hamisi Shemzigwa :
sasaiv hakuna kusubir msafara upite kilamtu atapita kwa ujanja wake😂😂
2026-09-22 10:27:32
7
kiramay.og
kiramay og :
ukisikia watu wenye ushirikiano Tanzania bodaboda ni no 1
2026-09-25 15:28:42
6
sheikhhatari
sheikhhatari :
Tumefika pazuri sana Alhamdulillha
2026-09-11 17:49:42
14
brown_ice6ix
queenlaty_beauty :
hii ni komeshaa🤣🤣🤣na serekali isipo angalia itapoteza power yake kutokana na baadhi ya viongoz.... asaiv watu wanazidi kupoteza uoga juu ya serekali
2026-09-28 20:46:37
6
brinasabry
Briana :
Saaaafi nani yupo free tukafurahike zao d🥰
2026-09-03 15:22:48
8
sj27876
SJ🌹🌹 :
hii ndo OCTOBER 29 AU Nmekosea
2026-09-29 12:36:13
7
husseinalhinai8
Hussein Al-hinai :
hii ni wapi kwani
2026-09-03 08:44:47
5
baba..shuu
kaka Ras 🛺 :
haya mataa ya wapi
2026-09-03 11:21:57
5
To see more videos from user @gracious.ngahatil, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About