mimi ni Mtanganyika ila kusema ukweli asilimia kubwa ya Watanganyika japo sio wote wanaongozwa na chuki harafu uelewa wao ni mdogo sana
2026-09-03 10:47:43
22
Dida Dubai :
huju mpeni uraia japo kitambulisho changu mpeni yeye mm mwenyewe sipo
2026-09-03 09:34:18
5
Harith Juma :
mm n zanzibar lkn uyu jamaa kakosea tena kakosea cn haifai kusemana kw vibaya kw 7bab sote n waafrika half sote tumeumbwa na mungu kwa iyo ukikosoa itakuwa unamkosoa mungu broo
2026-09-03 18:02:50
9
jackrine mhanila :
kwani Zanzibar ni nchi au mkoa?
2026-09-04 04:27:01
1
Elasmus Issack :
Zamani nilipo kuwa bukoba sikujua kama Kuna mji mzr kuliko bukoba, basi bhna nikaenda Dar heee nikashangaa makubwa a,,,,, nilipo fika Dubai, Shanghai, QINGDAO, HONG KONG na BEIJING nika gundua mtu ambaye ajatembea usibishane
2026-09-03 13:42:47
16
hawa othmani :
pamoja nayote vyote utaviacha kaka hivo. dunia isikutawale
2026-09-03 13:38:43
7
MUSA SONGE :
Asietembea usibishane nae
2026-09-03 15:05:02
5
Of line :
Upendo amani hiyo nikanuni ya kila mzanzibar Zanzibar hakuna matata karbuni Zanzibar hakuna matata
2026-09-04 05:03:03
1
anord951 :
we mbn kama mwenzetu, we si msukuma kwenu shy...😁
2026-09-03 12:01:38
7
BLINKMIND :
ningependa kujua una elimu gani
2026-09-03 16:52:28
2
Alfa leyzer vitambaa :
wazanzbar wamewekeza Dar...kulko hata kwao zanzbar
2026-09-03 12:15:39
5
katoto :
😂😂😂 inasikitisha
2026-09-03 18:10:01
1
CR_Benghazi :
saivi ndo namuelewa raisi mkapa Asante mkapa ulijua kuwabagaza na kuwabananga
2026-09-03 12:44:17
5
Maximillian :
onyesha kwako brooo.
2026-09-03 20:57:21
1
maziku :
AI
2026-09-03 21:02:01
1
Suhel Amin 45 zenji :
yani brooo nkubali san
2026-09-03 05:38:10
1
Mkwelele :
sasa mbona unatutukana.
2026-09-03 15:42:55
3
prochem enterprises :
kosa vyote ila Pata elimu na exposure
2026-09-03 13:53:11
4
ramso boy :
mm sema ukweli nakuonea hurumaaa saaana allaah
2026-09-03 18:00:46
3
To see more videos from user @abdullahimorfantz, please go to the Tikwm
homepage.