@islamic_rihla: Kuwa mume si kuwa mbabe wala dikteta. Ni kuwa msimamizi mwenye hekima, anayeheshimu, anayejali na anayejua wajibu wake. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH MZIWANDA 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #IslamicRihla #SafariYaImani #Ndoa #Uislamu #nasaha 🟠 FOLLOW US