mungu nipe mume nimeshapat dalasa asnte yesu nimesikia maadili.kutok kwa dada yngu mungu akutunze
2026-09-04 07:32:10
6
🦋Aysha🦋 :
😅😅😅sina mume ila chumba must kilakitu kiwe pambeee
2026-09-03 14:25:37
24
bi mzuri🥰🇹🇿🇧🇮 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣naomba nicheke wallah
2026-09-04 11:27:33
0
Yusra bisangao :
kweli dada
2026-09-03 14:35:55
5
Bint_seif🦋 :
Kumbe ss mbn mmechelewa kusema jmn😂😂😂
2026-09-03 17:17:08
10
mammy :
wangu hapendi kuoga haswa hadi upige kelele
2026-09-03 09:21:54
13
awa phiri :
kweli.kabisa
2026-09-04 06:58:30
5
Herlymer 🧕❤️🤲 :
asante
2026-09-03 17:51:37
1
Swabra :
MashaAllah ukhty fatma Allah akuweke
2026-09-03 19:56:05
0
sraah :
mm niko mbele ya muda ukhuty kila siku nafagia na kudeki na kila week napangua na kupanga upya yaani nyumba yangu inanizuzua hatar na sio chimbani tyu yaani nyumba nzima kiujumla
2026-09-03 15:03:58
7
@ princess💞💞💞 :
vyumba vingine havibadilishiki mitindo yaani ulivyo kipanga mwanzo ndo hivyo Hadi mwisho no change
2026-09-03 13:36:04
10
fatma matenga :
maratatu kwawiki jamn kudek wengine atuwez kirasiku tunadek
2026-09-03 15:04:45
8
Raally :
Asante kpnz chang
2026-09-03 14:27:44
6
baby irha :
mashallah
2026-09-04 15:08:47
1
Hawya queen :
😂😂😂😂unaniambia mim au
2026-09-04 06:40:10
3
Marry kadema :
kwamba mm ninaedeki mara2 kwa siku nakosea😂
2026-09-04 08:50:07
3
To see more videos from user @abubakaritv, please go to the Tikwm
homepage.