@danielamon4: #Danielamon4 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿

Daniel Amon
Daniel Amon
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 06:24:12 GMT
132435
6414
93
1607

Music

Download

Comments

josephina.chimamy
Josephina chimamy 💕 :
natamani wanawake woot tunao pitia hali hii tuunde group Moja tulie kwa pamoja tuende sehem ya utulivu tufanye maombi Wenda salaam zetu zingeimalisha mioyo yetu na tukasimam ten 🫂🫂😢😢
2026-09-07 08:53:08
17
asiyarajab
asiyarajab :
kumbe tuko wengi😥😥
2026-09-04 05:08:51
15
user95633191820386
momy nauthar🥰🥰🥰 :
acha tu nmejipendekeza ad nimechoka nmeamuwa kumuacha afate isia zake 😭😭😭😭
2026-09-03 19:48:33
12
user5321351173499hap
💞 HAPPY 💞 GOD 🙏 :
huyu ndio mie kwa sasa daah😭😭😭
2026-09-03 23:00:25
9
user73743053014834
cute 🥰♥️♥️ Maryam :
walai nipo kwenye hii hali 🥹🥹🥹🥹💔💔nilijuwa ananipenda kumbe uongo na ss kard kwenye penzi lke ila mungu upo atanilipia tuu namtakia kila la her💔
2026-09-03 12:11:30
5
mtheu428
Monica :
waah hii naipeleka facebook na namtag daah aki mapenzi jamani nani alileta hii kitu yaani uyu ni mm kbsa😳😢🥺🥹🥹
2026-09-05 17:42:55
3
mikaera.kihomwe
mikaera kihomwe :
acha tuu nataman nisingempenda mtot wa mtu
2026-09-28 18:10:08
2
zainabuathumani434
zaijan :
daah sipo pekee yangu
2026-09-03 20:07:28
2
veronicaa1557
veronicaa1557 :
kumbe c mm pekeangu
2026-09-03 17:25:09
1
lidya8948
my momo🤦♥️💋 :
my situation daah
2026-09-04 18:31:08
1
scola5739
💞 cute nancy 💞 :
daah inauma san mtu anakuacha bila sababu 😢😢
2026-09-05 21:35:39
2
user7598816018056
Angel idan :
maumivu niliyonayo cjui nimwambie Nani😭😭 kila siku nalia, miaka mi5 mtu anakuja kuniacha saiv isee🙌🥹
2026-09-04 14:18:05
5
rebeccahbosibori7
rebeccahbosibori7 :
Walai huyu ni mimi😭😭
2026-09-04 14:07:20
2
khadija76267
khadija :
Mm hata sina cha kusema 😢😢😢
2026-09-03 21:55:31
1
hellendavid403
Hellen David :
pore
2026-09-03 15:44:01
1
aisham4060995054028
aisham🥰 :
duuuh inauma sana
2026-09-03 18:14:16
2
user35243456810416
Miela😁 :
mtu anijibu swali....mtu umempigia krb mara mbili yajapokea wala kupiga kimya tu anamanisha nn😁
2026-09-11 07:30:25
2
ibraahmg
Ibraah Mg✌️ :
please kaka kunae binti nampenda sana ila nikimwambia anachulia poa poa tu wala haoneshi kukielewa nnachomwambia nisaidie moja ya mwisho ili kumfanya aelewe tu namna na mpenda kisha nitamuacha 🙏🙏
2026-09-04 14:49:08
1
robertwilliamgw16
Man Of God :
acha tu nikufollw😔😔😔
2026-09-03 08:58:24
1
quuen.of.african
quuen of African :
wacha nimalize kulia kwanza
2026-09-23 10:02:20
1
enjonyigu903
ENGEL :
eemola tutete kwenye hii safari yetu yamausiano
2026-10-02 07:55:42
0
tausimaulid
Aiem shuni🦋🚬 :
tokea niachwe nakutana na izi post da naumia sana😭😭😭😭😭
2026-10-01 20:49:08
1
user9208510561602
rayoo :
nsaw
2026-10-01 17:40:29
0
niffa3654
niffa :
ni mm kabisa napitia hii Hali 🥹🥹🥹🥹🥹🥹
2026-10-01 14:17:21
0
barakamwashambwa86
Baraka Mwashambwa :
pole jeshi
2026-09-03 19:50:19
0
To see more videos from user @danielamon4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About