@berthacollection0: Au nimepeleke police ? #viralvideo

berthacollection0
berthacollection0
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 06:39:27 GMT
346194
13231
521
3975

Music

Download

Comments

dr__karim1
Dr. Karim :
content tu hamna uhalisia
2026-09-03 08:42:05
151
kedekokedeko
kedecoh!! :
si rahisi dada wa kazi kufanya hivo kuna kitu haipo sawa
2026-09-03 08:37:39
232
nazminaactress
❤️Nazmina🦋🦋 :
Uwo siyo mpir wa rede
2026-09-03 07:59:07
254
user3505686182776
Mrs J🥰😘 :
hii ni content bhna 🤣🤣🤣🤣
2026-09-03 10:03:09
35
lady.in.red240
Lady in red♥️🍒 :
watu wote ni hatari cyo wa kazi tu usiamini mtu watu wabaya Wana husda na roho chafu sana
2026-09-03 08:16:00
134
user7019502514447
Miss Mary💞💗 :
content hakun ukwel japo anatufunza umakin
2026-09-03 08:28:45
79
irenegilbert97
Made in Tanzania🇹🇿 :
This is Scripted
2026-09-03 08:20:49
28
masoud.mkwanda
Mrs🤑🤑🥰 :
ule si mpira wa rede jamn
2026-09-03 09:05:03
45
fofocollection16
Fofo collection 🛍️ :
Wewe jamaniiiiii😔😔😔😔mungu atusaidie jmn
2026-09-03 07:40:36
38
asmakulike5
mam J ❤️ :
mbn pch umeiona kabla haujafukua n kam ka story umekaandaa na ulijua kbsaa hapo chin kuna pich umetaj pch kabla haujafukua vzur 🤣nashindw kukuelew
2026-09-03 08:03:08
28
kimdash8
@kimdash8 :
Jmn tulien kila mt atapata umaarufu kwa namna yake😂
2026-09-03 09:51:53
10
sam.mallya3
Giantpoultryfarming :
Hii content tu
2026-09-03 08:19:55
11
user4816608316378
Richard daughter :
mm natafut mdad wakaz jmn bmn naogop
2026-09-03 08:16:45
1
carinesima
Carine Sima :
Content creator well done dear👏👏👏
2026-09-03 08:43:27
1
sibofighter
MPANZU^, 🙌🤗,⚽⚽ JR :
sist pole
2026-09-03 08:27:08
0
mishirahmarumba
Mwanamisi N :
content hio
2026-09-03 09:30:25
1
salma.said8478
Salma Said :
Mtumeeeee
2026-09-03 09:03:11
1
happytemba04
Ms.Happy :
Yaani mtu kama unauwezo usilale nyumba moja na watumishi wakae nyumba ya nje hata kama ukisafiri ukitoka anabakia na nyumba ya nje na jiko la nje
2026-09-03 08:28:50
6
wema.james
Wema James :
jina la move tafadhali
2026-09-03 09:23:18
5
asha14750
🦋asha🦋 :
Duh 🙄 😳😳😳
2026-09-03 06:55:00
6
monica.komba09
Monica Komba :
ilisha tokea kwangu nilikuta picha zangu kwenye begi lake nipo muuliza et niliogopa picha zako zitajikunja dada nikaweka kwenye begi langu nilimtimua
2026-09-03 08:01:20
5
gaty155
🌸majorianaa🌸18❤️🙏 :
Ni kweri
2026-09-03 08:46:31
0
marrymarry703
MARRY MARRY :
Ulivo kuwa Unatumia hujamaliza Ila kasema Umeona na picha Mbn Kama sijaelewewa
2026-09-03 10:56:42
0
To see more videos from user @berthacollection0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About