@mc_jimy:

MC JIMY
MC JIMY
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 06:45:15 GMT
39794
2620
62
159

Music

Download

Comments

tategawaxab
Giddy :
Kwa wasioelewa, hii ni siku ya mahari/send off, siku kijana alikuja kujitambulisha, washenga walipewa list ya vitu vya kuleta kumpata mke. Mzee hapo anamuwakilisha baba, kupokea hiyo mizigo waliyoomba familia ya anayemtoa bibi harusi. Kila kilichoomba lazma kiwepo la sivyo itabidi wajieleze. Ekilumbu ni mguu wa ng’ombe kama haupo unaleta pesa…omulamba ni togwa ila wameleta soda, elyalwa ni pombe (Bukoba tunapeleka pombe ya ndizi-Olubisi) zimeletwa bia, entukulu ni kikapu (lazma kiwe na kitu ndani), endozo ni pombe kidogo ya kuonja na hao wazee wanaitwa abagulusi. Omusigazi ni mvulana😁If fact that’s what we call emichochozo aka process za buhaya😂
2026-09-04 20:05:06
9
user9061333780341
user9061333780341 :
hizi tamaduni zilikuwa zinanogesha ndoa
2026-09-09 17:44:58
4
user5361436537195
user5361436537195 :
🥰🥰🥰🥰 ati entukulu zigusile nafulai na kabila langu
2026-09-03 18:34:38
18
secrealady
secrealady :
iiiiiiiii..... iiiiiiiiiii mwagilamayo🥰🥰
2026-09-03 14:52:41
7
thobiascleophace2
Thobias Cleophace :
mayo mayo waitu mwaijage
2026-09-09 09:24:14
1
karungi_0
karungi_0 :
waitu bagaisa. 😁
2026-09-03 16:16:52
5
uploadme_
Klyro :
nimesikia Katuzilebe
2026-09-08 18:14:45
2
eradi60
freedom fighter :
sir mosses uyo au
2026-09-05 18:44:26
0
borausafitz
DUSTBINS :
sijui nioe muhaya mwenzangu
2026-09-15 07:51:03
1
user4158475423118
Anita :
nakibona
2026-09-04 23:46:59
1
luiyana.mawole
Luiyana Mawole :
🥰🥰🥰
2026-09-05 15:04:56
0
j.d.j.k6
📌 :
🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-03 17:32:32
2
user9857952206249
Elias t method :
aya mambo nayapenda ila nimependana na mnyamwezi ko nishayakosa
2026-09-18 16:03:53
0
user81207859448763
sonny :
home
2026-09-04 09:40:24
0
kokusima51
kokusima :
Nawapenda sana kabila zinazoendeleza mila na desturi
2026-09-04 09:39:53
1
dee68121
Dee :
Watu na Utu so bigger up wazee
2026-09-10 12:57:40
0
miraclehomedecoration
Mashuka na mapazia tandika :
😂😂😂 Aisee
2026-09-05 14:04:55
0
prisca_johny
Prisca 🥰 :
2026-09-03 14:04:57
1
user27581296988861
am irynlove 🤍 :
eeeegoooooo
2026-09-04 12:13:26
0
johanesserick
Erick johaness :
na akifika tulie
2026-09-05 13:31:47
0
muka19955
Muka1995 :
Ntushana abalimu Thomas🤩
2026-09-05 06:43:35
0
borausafitz
DUSTBINS :
kwetu[Heartwarming]
2026-09-12 09:11:14
0
rosemebo8iy
rose :
ila wahaya jamn emichonchozo uwii
2026-09-03 16:58:42
6
mctachi123
McTachi123 :
wanakutolea mahali hivyo wiki moja kwisha
2026-09-03 15:36:17
2
helena.dorminick
Helena Dorminick :
nimanya no waitu balikileta kiziba Kanyigo😂
2026-09-04 06:40:27
1
To see more videos from user @mc_jimy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About