@afrosate: Wana Simba, hii challenge mmeielewa? 😄🔥 NB: Doumbia amepumzishwa na mashabiki wa Dar ni jambo la kheri sana hili!🤝 #afrosate #nbcpremierleague #simbasc

afrosate Media
afrosate Media
Open In TikTok:
Region: EN
Thursday 03 September 2026 06:46:07 GMT
62485
2093
17
17

Music

Download

Comments

walatekwamkalamba
King Ferolu :
dumbia mpira anajuwa ila tatizo mnaponda sn
2026-09-03 10:44:51
7
juma72717
juma :
Kaka ni bora zaidi iyo pesa inge peleka msikitini kwajili yaujenzi au kanisani mbona unge pata neem zamungu kwenye maisha yako au ukawa saidie yatima waio jiweza maana sisi tina ifatilia simba kwajili ya matokeo yake 2 uwanjani sio kwajili ya katiba mfya ya simba mbona hao hao simba walifanya vizur misimu miine mizima bila katiba myfa hajawai toka mtu akaweka miloni hata moja
2026-09-03 21:12:47
0
dara_online_tv
Pearl of wisdom :
upo sahihi kak
2026-09-03 11:42:59
2
user4823757459853
Jose comedy :
chama
2026-09-03 17:55:23
1
maiko2553
Maiko :
ko
2026-09-03 10:17:34
0
user3262837763616
uuysh :
Akiondoka na timu ataenda kufunga ugenini
2026-09-03 12:10:36
1
bakar05820
bad nation🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
tufanye nn sas
2026-09-03 06:51:32
1
user11266549744
user11266549744 :
why now ai mnafurahia timu kufanya vbaya si mngesbir tu na wenzako kakangu
2026-09-03 12:48:49
2
mageja.mobile.shop
MAGEJA MOBILE&ACCESSORIES🇹🇿 :
vigezo
2026-09-03 09:38:03
1
ady_tz3
ady_tz :
iko hvi Tim hizz ambazo tumekutana nazo ni midblock wanakabia chin ni ngumu Sanaa kuona namba tisa aina ya dumbia kupta clear chances ili ku score
2026-09-03 11:55:46
1
67romain
Gabriel :
doumbia ni mchezaji mzuri shida wachezaji wenzake wanashindwa kumwamini bas
2026-09-03 20:06:43
1
salomeisaya
chaome :
hy hel nip me nshakul kodi hap
2026-09-03 13:09:24
2
kotildambiro
kotilda mbiro :
chilambo
2026-09-03 21:10:38
0
abdallahmchomvu.tz
ABDALLAH MCHOMVU :
mechi ijao ataa funga gori tumemaliza kazi sasa
2026-09-03 22:17:05
0
saiguran..i..mole
SAIGURAN .I. MOLELL :
👏👏👏
2026-09-03 07:28:45
2
To see more videos from user @afrosate, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About