@michezoextra_:

michezo extra
michezo extra
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 06:58:34 GMT
176349
20505
280
271

Music

Download

Comments

madmox438
MARTINEZ-$ :
Fabrizio kapost wap uncle
2026-09-03 10:01:32
5
aichinenga_4real
Aichinenga_4real🇹🇿 :
Hii haina com back😂😂😂
2026-09-03 09:38:28
71
liifhabari
LIIF HABARI :
kwani Fbrizio kapost wapi
2026-09-03 08:46:26
74
nuru.hamiss
Nuru Hamiss :
kwani uyu nani amempa iyo jezi
2026-09-03 08:36:16
25
ramadhan.ally49
Mwamposa Apostle :
jez Bei gani kaka iyo ya njano
2026-09-03 09:21:27
16
goodman_emporium
GOODMAN EMPORIUM :
Kama fabrizio kalipwa ata nyie itakua mmelipwa😂
2026-09-03 10:43:22
6
fredy_eagle
fredy_eagle@ :
logo ya caf ipo wap
2026-09-04 07:32:51
2
chauladitoni
@Ruskaroma🕴 :
young africans to the world
2026-09-03 13:34:44
9
breezey.5
Haroun :
SIMBA iliwahi kufanya hivyo na mchezaji wa Barcelona Pique nyie mmeiga tuu
2026-09-03 17:36:27
3
eddxon.kaseya05
eddxon kaseya05 :
no come back 😂😂😂😂
2026-09-03 09:07:29
28
angelgodfrey177
MAMA """G"❤️🎀 :
watu wew
2026-09-03 12:34:43
5
13square14
Bega Boy :
Acheni uchawa Fabrizio hajapost kokote isipokuwa wao ndio wamempost akizionyesha
2026-09-03 10:33:57
7
issaelio6
issaerio6 :
mbn hatujaona kapost
2026-09-03 09:42:05
7
azorindege
Ndege Jr. :
Over My Dead Body 🤣🤣🤣🤣🤣 are u Fabrizio??😂😂😂
2026-09-03 09:05:19
2
aisharashidy53
aisharashidy :
mwanamchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚
2026-09-03 10:55:31
0
mustaphasaid410
zachalia petr :
kaka hiyo jezi inauzwa hingap
2026-09-03 12:38:50
7
reytorreslanda
reytorreslanda :
ya njano kali
2026-09-03 09:41:47
5
mrsdaddy4
@Mrs thomas💕💍🌸🌺🌻♥️ :
Daaaah ila yang bingwa 💚💛
2026-09-03 10:11:48
7
abdulbasit71396
Abdulbasit :
hiyo jezi so powa iko vizuri
2026-09-03 10:04:13
5
kazikidogo20
kazikidogo20 :
jezi za makolo kabla ya kufika bongo tayari inakuwa ishavuja zikifika msimbazi wakianza kupeleka sinza kabla ya kufika sinza tayari zishavuja
2026-09-03 08:53:11
8
user9160391111988
user9160391111988 mgeni Khalfa :
Mwakan tena 💚💛💚
2026-09-03 14:19:19
1
hashimhussein971
mablukey :
michawa iimetumwa kuibrand yanga timu haibrandiwi mdomoni tim inajibrand yenyewe according to its performance mtahangaika sana hamuifikii simba
2026-09-03 10:47:18
3
cheusimangara1
🦒 wa mzee omary💫💫✨️ :
nilijua tu wachambuzi ote yanga🥺
2026-09-03 17:07:47
0
peterbeatus341
Peter Beatus :
njaa mbaya sana jaman tusome , jaman tusome Fabrizio hajapost kweny kurasa yake yanga ndo kaposti Sasa Fabrizio atapostije jezi mbovu et
2026-09-03 11:17:10
3
To see more videos from user @michezoextra_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About