Naomba nikupe majibu… matrix ni mfumo rasmi haijalishi umetengenezwa na nani hata wateule wanaweza tengeneza matrix mfano mzuri mabudha, wapagani na jamii nyingi za kiafrika pia kwahyo kujitoa ni kutofungamana na mtu au aina fulani rasmi ya maisha… hata wewe unaeza kujitengenezea matrix yako kwa kufanya vitu mfano ritual kwa kujilazimisha eti kwasababu ulitengeneza ratiba . WATEULE WANAPASWA KUJIEPUSHA NA VIKUNDI AU UJAMAA ( positive na positive hazikai vizuri 😁) but neg+ pos = energy flow
2026-09-04 13:55:51
0
dede RIP001🤑 :
what about Dejavu?
2026-09-09 14:07:42
2
Waylessndinze :
Mwalimu hii ime nitokea mm kiukweli nilihisi nime pata rafiki anayejuwa mengi kukiko mm na amenielekeza mengi ila nimekuja kugunduwa si mtu sahihi ame niendesha biashala zangu zikawa chini yake mm nikawa kama mfanya kazi chochote anachotaka kufanya anaganya kama ni biashara yake amefanya hadi mke wangu akaondoka yani nime kuja kushituka ana anzisha duka lake kupitia biashara yangu hapo ndipo nika jisimamia nilipo mueleza kuhusu mabadiko ya kazi hana majibu hadi sas ana siku mbili haja kanyaga kazini mwalimu ulilo zungumza ni la kweli mm limenitokea ingawa bado sija juwa mengi ila naendelea kujifunza Yani nilihisi yeye ndiye pekee bila yeye siwezi fanya chochote
2026-10-07 10:45:34
0
amosmachete :
Pattern recognition ndo inaonesha glitch ya matrix. Bila Pattern recognition na unaishi kwa imani glitch wanaita deja Vu au mungu kuna jambo anamwambia. Acta Non Verba
2026-09-21 22:57:47
0
Pabroww :
nmekupata💯bro
2026-09-06 15:28:54
0
just_.collins :
who create the matrix
2026-09-16 10:18:48
0
kipa :
asante siku zote
2026-09-05 17:00:23
0
Alkebulan Family :
Bro hii ni heavyweight imenijenga sana asante
2026-09-03 12:39:46
0
Faustiney Stanley :
kweli dady
2026-09-03 10:34:20
0
pepejosephat575 :
2026-09-03 10:28:46
0
JADON JUMMÀ :
🫡🫡
2026-09-09 06:23:06
0
Tunny beauty shop ❤️🤩 :
😌😌😌
2026-09-03 09:39:20
0
🔑Fedinanti 🌈💥💦💌🤚🇺🇬 :
🤝
2026-09-28 15:20:55
0
To see more videos from user @awakenedgiant1, please go to the Tikwm
homepage.