shida sio mahali shida asaivi tuko bize namambo yetu nyie mshatuumiza sana
2026-09-03 09:57:14
0
officialalvinrazydeevivan1🤑🤑 :
na apo bidhaa sio mpya ishafunguliwa halafu natoa mahari million kweli
2026-09-03 09:47:29
0
𝒜𝓁𝑒𝓍 💖 𝒱𝑒𝓃𝒶 👦🏻 🇰🇪 :
Tafuta pesa kwa bidii ili ubadilishe jinsi dunia inavyokuchukulia.
2026-09-03 09:00:43
0
semina maganya :
Hapana dada siyo mahari Wala!
2026-09-03 09:35:24
0
minah✨️✨️ :
nikweli kabisa dada
2026-09-03 07:34:33
0
MPALESTINE :
Kwa kwel sister umenipoint me naon mahari yamenifanya me ni simame kwanz kuoa maan
2026-09-03 09:02:59
0
Nicholas lwinga :
Dada upo sahihi
2026-09-03 09:04:59
0
daniel Tz :
Nikwel lakin kikubwa zaidi hakuna utuliv kwenye ndoa kwahao wawoli walopendana.
2026-09-03 08:06:06
0
ramamgao :
Fact 🥰🥰🥰
2026-09-03 07:35:08
0
swedy utaiba :
tunagongewa sanaaaaaaaaaaah
2026-09-03 11:41:52
0
HB✨MWARABU🤓😜 :
UMEONGEA UKWELI DADA WEWE UNA AKILI YAANI SAIVI WAZAZI NDIO WANATAJA MAHARI YAANI WAKAE TU NA MABINT WAO WANAFANYA KAMA MITAJI AU BIASHARA HAPO HAPO UKIACHA MAHARI HIYO YA ML5 UNAAMBIWA KUNA. HELA YA WAZAZI LAKI 6 AU 5 HATA HAWAWAZI KUWA AK8MALIZA KUOLEWA ANATAKIWA KULA NA KUVAA BINT YAO HAYO YOTE NI JUKUMU LA MWANAUME WAMESHAMKAUSHA PESA ZOTE HAHAHAHHA DAAAH ALLAH ATUSAMEHE KWA HAYA
2026-09-03 09:13:56
0
mr ahmad :
kumbe siku mojamoja mnajitambuaga et eeee
2026-09-03 09:55:45
0
juma :
Shida nyingine sio mahali pia nawaza kukulipia mahali alafu kwenye ndoa unakuja kuniletea mazingizoni
2026-09-03 08:57:09
0
gloire :
😁😁😁
2026-09-03 09:08:49
0
To see more videos from user @jayzoba, please go to the Tikwm
homepage.