@simukitaa: Who Will Survive 72hrs? (EP 16).. je! Unadhani Ni Nani Ataibuka Kidedea Na Kuondoka Na 1,500,000 ? Wameanza 10 Na Ni Washiriki watano tu watakao ingia Kwenye Jumba La Maajabu unadhani Ni Nani Na Nani? Tunawakumbusha Tu sisi tushaanza Kupokea Pre Order Za iPhone 18 Series Kwa Wanaotaka kupata hizo simu mapema .. Unasubiri nini mwanakitaa?!!! Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori NB; IPHONE 17 PRO MAX SHOT IT NA SAUTI NI YA HOLLY LAND MIC #whowillsurvive72hrs #iphone18
ungetumia zile challenge za awali kupunguza wa shiriki wabaki wachache ata wawili au 3 ingenoga zaidi na ushindani ungakua mkubwa naingevutia sana na ubufu ungeongezeka niushauri. game at zikiwa 10 kwenye masa 72 watu wawewanatoka adi wabaki wachache kama SQUARD GAME VILE
2026-09-03 11:01:15
0
🥷🏾 :
Iwekwe youtube
2026-09-03 10:07:48
0
𝓴𝓲𝓷𝓭 𝓫𝓸𝔂🫰 :
😂
2026-09-03 08:25:09
1
Brendah22 :
sjui niwe team red or blue nashindwa kuelewah 🤣
2026-09-03 08:14:17
0
adesam563 :
kwenye challenge za makundi vancy ndo apewe jamn🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰
2026-09-03 08:14:12
1
Mam💕alicy21 :
Watu weweeeh🥰🥰
2026-09-03 08:22:53
1
Mep 🦁 :
kwangu mm namshabikia huyu ARITA TO THE WORLD 😄
2026-09-03 15:39:07
0
Brandboe📌📌📌 :
nakubali team red ♥️sababu ya hunnah anaakili kwakumtazama tu na maneno yake pia
2026-09-03 14:14:10
0
greatest 💯 :
hii
2026-09-03 15:18:41
0
To see more videos from user @simukitaa, please go to the Tikwm
homepage.