@mr.black_255: ALIO IFUFUA HII PICHA KAMALIZA KAZI YAKE , KUBISHANA ATUACHIE SISI #yanga #fyppppppppppppppppppppppp #tanzaniantiktok🇹🇿 #simbasc #dukuduku
tenfoz_arts🍗😮💨
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 07:34:13 GMT
Music
Download
Comments
Mido Domi :
Different btw😆😆😆😆😆
2026-09-03 21:18:46
3
jthan_now :
kutangaza jezi na kupiga picha na jezi ni vitu viwili tofauti wakuu 🤣🤣🤣
2026-09-03 12:41:52
41
shephady 4️⃣5️⃣🔞 :
sijawa pata like hata 10 kwenye comment yangu wana simba wenzangu mko wapi
2026-09-03 15:23:13
54
Erick 🧒 :
KILA KITU CHA MPILA NI KITAMBO LAKINI CHA YANGA NI SASA HUPO
2026-09-03 10:21:46
24
Joyce molla❤ :
kwan na jezi za simb zimeandikwaga sportpesa?
2026-09-03 15:48:42
8
LAST BORN :
hio ya simba ni AI
2026-09-03 09:20:06
11
Khadija💕 :
wapo mwaka wanyuma kweri 😁😁😁
2026-09-03 12:29:10
7
Allylingole :
yanga bingwa 💪
2026-09-03 13:34:27
6
its_dee brown🇿🇼🇹🇿✨🌟🔥🔥 :
na sisi ashraf hakim msifanye wajuaji😁😁
2026-09-03 20:29:39
7
jojo💕 cut£ :
mimi nitakua simba ata akitangaze dulla makabila
2026-09-03 16:33:58
8
𝓐𝓳𝓮𝓬 𝓵𝓸𝓿𝓮 :
yanga inachekesh km cio timu yako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-03 17:03:40
5
vivian :
mbona AI hyo au naona sportpesa🤣🤣
2026-09-03 19:31:05
1
Sam jayz💥🔥 :
mbele mwiko nyuma daima
2026-09-03 20:25:33
2
issack malugu :
miaka mingi ilio pita
2026-09-04 04:47:43
1
princess niffer💞💖🇹🇿🇴🇲 :
simba wanaangaika hamuwez kushindana na yanga mukae Kwa kutulia🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-03 18:07:05
4
🥰🍎 :
hii sauti inasikika kwa masikio yangu tu ama na nyie munasikia maana mh🤣
2026-09-04 06:59:55
1
𝒟𝑒𝑒𝑒 🎶 :
kuna tofaut kat yakutambulsha jez nakushka Jez kupga nayo picha kuwen makini bac
2026-09-03 21:44:39
1
Joshua :
Tatizo hata hakimi alishika ya yanga
2026-09-03 16:06:21
1
ney 🦋♥️ :
acha wafanye nawao kwani kuna ubaya🤣
2026-09-03 16:03:19
1
Vivian Tinda :
tulishahama hamaii
2026-09-03 18:34:32
1
1dickson01 :
So kweli
2026-09-03 16:39:06
1
dayanamchome141 :
Kwan huy aloshik Jez ya yanga ni nani jmn
2026-09-03 18:54:47
1
luckness :
Ni zamu yetu sasa mtuache, YANGA BINGWA
2026-09-03 18:41:16
1
Mr Nobody :
Ndo uelewe tulishafanya kitamboo kakaa😂😅
2026-09-03 18:45:56
1
HAJA HAWAA :
mta teseka sana, YANGA bingwa 🏆
2026-09-03 18:22:35
2
To see more videos from user @mr.black_255, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.