@siasatz: Tumefurahi kuona jitihada za makusudi zinachukuliwa kuhakikisha hali inarudi kama ilivyokuwa awali au pengine iwe nafuu zaidi kama ambavyo Mhe. Rais anataka iwe ili Mtanzania wa Nkasi au Buzebazeba aweze kumudu gharama za ujenzi. Mbali na jitihada hizi tunahitaji cartels zinazonufaika na hii mikakati ya kuumiza wananchi zikomeshwe la sivyo kila baada ya miaka kadhaa tutarudi kujadiliana namna ya kukabili shida ileile kwa sababu hii sio mara ya kwanza #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30

siasazetu
siasazetu
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 08:00:08 GMT
101570
4116
289
137

Music

Download

Comments

touchinglives8
Dr Tobias Kilinga (Big size) :
Mimi sijui nikoje,Hotuba yoyote akishaa tajwa mama Nakosa Nguvu ya kuendelea kusikiliza!
2026-09-03 08:59:51
48
user8867292932830
simple but heavy :
new vocabulary in town synchronize
2026-09-03 15:12:29
0
shngda
washan :
wow good,,
2026-09-03 11:54:00
0
aminahusein0
Aminahusein0 :
Wakishushatu bei najenga
2026-09-03 10:06:27
1
jzeetz4
[email protected] :
kongole sana 👍👍👍👍
2026-09-03 09:53:46
0
cesilia.minde
Cesilia Minde :
mungu akulinde mama yetu
2026-09-03 09:31:51
3
eliza.kuziganika
Eliza Kuziganika :
Tena wafanye halaka nimeshindwa kujenga kisa sument 25000
2026-09-03 09:04:50
6
ibrahimdangmail.co
IbrahimTz :
huyu ndiye mtu tunayetaka ikiwezekana hata kesho awe rais kamili
2026-09-03 08:54:27
10
tajirihalisi1
TAJIRI HALISI CHUNYA :
kabisa kama Leo chunya tunanunua cement 23000🙏🙏
2026-09-03 10:46:38
3
mbovurider
Mbovu Rider :
Cinema
2026-09-03 13:05:55
0
user96867340388305
MRB :
serikali ya Tanzania ipunguze kodi kwenye cement . harafu mwanainch auziwe cement kwa bei isiyo zidi Elfu kumi
2026-09-03 08:38:26
5
mmoma43
ndo kwetu ndo hom :
Asante
2026-09-03 08:45:08
0
trayjr4
Junior 14 :
Waziri wa biashara na uwekezaji upoooo😂😂😂😂 zero seperation of power
2026-09-03 09:01:09
4
im.sport.man
I'm sport man :
story hizi 😂😂😂
2026-09-03 09:53:41
2
user40553399314
[email protected] :
punguzeni na bei ya ya kujaza ges
2026-09-03 14:28:38
1
singano98
singano :
wakizungumza kama watu vilee kumbe
2026-09-03 11:59:45
1
user2654373317086
user2654373317086 :
Wow! asante sana tunateseka sana na cement tunashindwa hata kujenga jamani
2026-09-03 10:50:35
1
petersimion453
petersimion453 :
kama makamu simamia upande wako sio lazima utaje mtu mwingine
2026-09-03 13:43:14
1
lukaskagongo
LUKAS :
usime awari zishuke mh mpaka sh 12000 kwa mfuko hapo ndipo mtakua umetusaidia mh miwa leo mfuko ni sh 23000
2026-09-03 09:30:10
1
mwitaliyano
gazzer bway :
baba ukitoka hp nenda na kwenye bati punguza napo mana tutajenga lini saiv yn vifaa vya ujenzi kwa ujumla vp bei kali sana
2026-09-03 08:52:55
0
user3551060661824
user3551060661824 :
mkuu tunaomba gesi na umeme iwe bei ya chini
2026-09-03 12:32:17
1
stamphord2
Justin stamphord :
ukishasema tu samia suluhu nakosa hamu ya kuangalia hotuba yoyote ile
2026-09-03 12:40:37
1
markamba2
mark :
tunahitaji cement ishuke bei,bei ya mwisho tunataka iwe 15000 kwa mtu wa kigoma na wale wa mikoa mingine ya mbali
2026-09-03 09:31:59
2
simonmagaigwa5
Simon Magaigwa :
AI
2026-09-03 08:46:48
0
s..sakilo
S. Sakilo :
Serikali ipunguze matumizi ya Pesa za Posho jamani. Na misafara mikubwa. Na hapo mkifanya hivyo Kodi za bidhaa zipungue ili Mtanzania apate unafuu wa maisha. MSIWE MNAONGEA TU HUKU MAPOSHO MAKUBWA MNAYATAKA TANZANIA INA UTITIRI WA KODI JAMANI.
2026-09-03 10:32:56
2
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About