kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu.
2026-09-12 11:25:35
20
Winifrid Lusuka :
maisha ya kwetu kabisa bigapu
2026-09-11 18:05:23
29
ȺSĦƗLȺᕈĦ JR❤➻𒍜➻︻╦╤─(⌐▀͡┻̿═━✅️ :
mchungaji anaweza kubadili watu😂😂😂😂❤️
2026-09-13 20:12:08
35
james :
hii kwely noma mazee
2026-09-05 07:58:25
14
MWASUZA jr :
sahih mkuu iyo inafaa ngoja twende nayo
2026-09-08 21:09:40
9
Jacob Stanley :
tulio ikubali hii spich gonga like hap
2026-09-13 07:50:45
11
Official Dee Tz :
umetisha mwanangu unakitu wew
2026-09-03 13:44:46
6
🔥J∅ÑÇHÜ✝️ :
sema iyo imekaa kibaba 👊 mkuu aisee Jesus 🙏 mwambaa
2026-09-14 05:18:03
14
lordriden :
Maisha ya kweli pastor
2026-09-11 11:47:53
8
heispablo-22dc :
sahih
2026-09-14 19:50:00
3
4 saba kwato :
oya hiyo nimekubali
2026-09-30 19:40:27
3
Rucho Kaka Gilzimann :
sema nn kaka mkubwa unajuwa mngu akubar kamanda
2026-09-13 20:04:47
7
Nego :
umetisha sana
2026-09-11 18:58:41
2
Kennedy Emmanuel :
Mchungaji, umeongea na watu sahihi maana sisi wasela tupo hapa, na ujumbe umefika kabisa. Sasa ni kujirekebisha tu, maana Mungu hataki tuendelee na uwuni milele sema bado pow nn🙏
2026-09-13 22:06:37
6
Dizzo 45 :
kwaeshima😃😃
2026-09-14 04:42:05
4
it's matter :
kabisa mwamba
2026-09-11 07:07:23
2
francis matunda :
respect my fqmily
2026-09-15 11:34:46
2
g🌺r🌴a🌹d🌻a🍀c :
nimeipenda sana
2026-09-13 12:01:53
2
kulola paul :
666
2026-09-13 08:50:19
2
Kelvin DJ MJUKUU 👈👈✊ :
amina😆 saluti
2026-09-16 10:10:16
2
@mr Jay+ :
sio dini yangu lakini umetishasana🤣😂
2026-09-18 18:05:22
2
chassa jr :
sahihi
2026-09-11 21:30:18
2
To see more videos from user @gymmiergiddy, please go to the Tikwm
homepage.