@blaxstore175_hq: IPHONE 18 PRO YAWEZA KUJA NA RANGI MPYA KABISA Ripoti mpya zinaeleza kuwa iPhone 18 Pro inaweza kuja na Black, Sky Blue na Dark Cherry, huku Silver ikitajwa kuondolewa baada ya kuwa rangi maarufu kwa miaka. Hata hivyo, taarifa za rangi bado zinakinzana taarifa zengine. Zinaonyesha Silver, Dark Cherry na Sky Blue. Apple bado haijathibitisha rasmi rangi hizo. CC @blaxstore175_ @blaxstore175_backup #Tech #technology #blaxstore175 #tanzania #mbeya