@j.town.motors: 🚘 J TOWN MOTORS 🚘 Unatafuta gari la ndoto zako? Umefika mahali sahihi! Sisi ni waagizaji wa magari kutoka nchi mbalimbali duniani, tukikuletea magari ya kifahari, ya matumizi ya kila siku, ya biashara na ya bajeti tofauti kulingana na mahitaji yako. Haijalishi unatafuta gari la bei nafuu au la kifahari, J Town Motors tupo tayari kukusaidia kupata chaguo bora kwa uaminifu na huduma ya kiwango cha juu. 📍 Ofisi: Mtaa wa Mwambene, Jengo la Monalisa Mall. 📞 Wasiliana nasi: 0768 717 488 Karibu J Town Motors, ambapo ubora, uaminifu na kuridhika kwa mteja ni kipaumbele chetu. J TOWN MOTORS – Gari lako la ndoto, jukumu letu. 🚗✨
J TOWN MOTORS
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 08:40:10 GMT
Music
Download
Comments
Aaliyah🦋 :
Unakijua kina cha feri lakini😂😂😂
2026-09-03 13:28:51
17
wisdom varden :
nitakuwa naendanayo zanzibar
2026-09-03 10:25:31
12
Ghurayra :
na athari ya chumvi inakuaje
2026-09-03 13:13:48
8
paul kafumu :
wadaganye
2026-09-03 09:37:30
16
Massoud Nassor :
Ntaenda pemba na gari tu saiv
2026-09-04 13:31:07
0
mabango bei chee :
nifa nae aipeleke kigamboni 😁
2026-09-03 16:25:56
3
Greyvine :
Kina cha pale unakijua lakin
2026-09-03 19:54:50
0
D :
hatamimi nitaichukuwa niende zazibar nikifika. salama nachukuwa 20 zitanitosha kibihashara
2026-09-03 20:55:12
0
Jimmy Jr ⚡🐧 :
sio maji ya bongo mkuu😂
2026-09-03 12:59:43
0
naty_naty5 :
Nimeon ata ukifungua kioo maji hayaingi ndan 😁😁
2026-09-03 16:01:26
0
Makher yahya :
Zanzibar chap2 au sio🤣
2026-09-03 13:11:28
1
user6166210312618 :
hee stak jaman🤣🤣
2026-09-05 12:25:37
0
anice :
Tunaenda zenji na gari
2026-09-05 18:57:25
0
ghyxxlo :
Loo nami nina mooyoo
2026-09-05 10:52:35
0
Sharon Michael :
nasubiri niffer avuke nalo kuja ofisini kwake kwanza🤣🤣
2026-09-06 00:27:22
0
John Mtei :
2026-09-03 11:17:29
1
Ramadhani Kirungi :
sio bahari ya kigamboni inalaana ileeeee😂
2026-09-03 15:10:44
2
Mtukazii :
Inakujazia watu mapema tu
2026-09-03 10:50:18
0
betterhelthvibe :
hii ndio gari ya ndoto yangu ss
2026-09-12 06:06:37
0
gabimaghitz :
wat if system goes down at the mid😳
2026-09-04 12:45:27
0
𝕖𝕚𝕜𝕪𝕒𝕢𝕣𝕒𝕕 🦋 :
leta moja mtest ferry pale
2026-09-06 06:27:36
0
Nelson di method23 :
hapo ikipiga wimbi kushney
2026-09-04 17:05:06
0
𝕤𝕒𝕕𝕚𝕔𝕜𝕚𝕟𝕙𝕠 𝔊𝔲𝔩𝔞𝔪 :
Tupo zama za mwisho kabsa cku znavyo zd technolgy inakua na itatufikia harufu utakua inaisikia kwenye cm
2026-09-04 16:52:28
0
Mark Shari :
huwezi ruhusiwa kuvuka nayo pale labda uwe na kibali maalum
2026-09-03 10:50:22
0
To see more videos from user @j.town.motors, please go to the Tikwm
homepage.