@user0750204481: wakishua huewi elewa kabisa.@#

POINT A.
POINT A.
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 08:43:06 GMT
110808
13243
307
299

Music

Download

Comments

sensei.aman05
@Sensei aman05 :
mungu tubariki wote tuliotoka kwenye familia Duni Ili tupate MAFANIKIO Kwa ajili ya familia zetu Amiiin
2026-09-11 18:52:51
27
user40341261865462
Fransisco Festo :
jamani ndugu tunaoumia ni sisi ambao tukirudi nyumbani tunakuta wadogo zetu wako kwenye hali hiyo kila tukijitaidi ila badoo tunaumia sana sio siri hadi sasa hakuna utofauti kati ya makuz yetu na wao wadogo zetu..😓😓😓😓😤😤🤔🤔🤔
2026-09-11 12:41:38
52
chaz24853
Chaz :
kwakwer
2026-09-14 14:30:48
0
mpmadini1
MP Madini :
life stail
2026-09-13 19:45:46
1
user7737961533331
Leonard :
god bless amen
2026-09-12 19:19:58
1
elias.mahuba
Elias Mahuba :
Yan kama hujapitia hayo maisha usinishauli utanichangany
2026-09-11 05:02:15
17
chenga.emanuel
chenga emanuel :
nimepitiya uku ko ao n mm kabisa
2026-09-11 14:25:13
2
francisgidion617
Francis Gidion :
hayo maisha yetu kaka msishangae
2026-09-10 12:25:37
6
irenebishat
1 :
alokua anabembeleza kalala na mbembelezaji akaona asiwe kesi
2026-09-11 14:37:35
7
chidkunta
Chid kunta TZ :
yaaaah allah mungu wa mbingu na ardhi tuamshe nasi wa hali ya chin sema amiin kama unaamin nawe ipo siku utakuwa msaada kwa watu wenye hali ya chin kama ya ko🙏🙏🙏
2026-09-12 03:42:29
5
.mafinyaa
Mafinyaa :
poleni
2026-09-11 19:05:38
1
user1385409226790
@GASHY KE :
Mimi naomba mungu anipe uwezo ili nieze kwasaidia Weny wako kwenye hali hii hua naumia sanaaah nkiona picha kma hiz hua zavuta hisia hadi najikuta nalia tu🙏🙏🙏🤲🙏
2026-09-11 20:51:26
6
edricki16
[email protected] :
🙏🙏 mungu naisi Leo ao watto wapo kwenye maisha mengine sana ila wape upendo mkubwa maishani mwao .
2026-09-11 10:38:34
6
alon.khan.msese1
Alon khan msese :
kwaheshima
2026-09-11 17:29:10
1
cherrup.24.hours
cherrup 24 hours❤️❤️❤️ :
mmmmh mbn hiii kali
2026-09-03 15:30:06
3
user6162105943334
kibhinda kibhinda :
mpaka nmachoz yananitoka maana me ni mmoja nilio pitia hapo
2026-09-12 14:10:42
3
ebe.class.unity.el
Ebe class unity Elias b Elias :
kama uliwahi kulala ivo nione yak hapo man umenikumbusha mbali san daah
2026-09-13 12:04:27
2
emmanuelpaulo403
emmanuelpaulo :
unani kumbusha mbaliiii sana
2026-09-11 09:45:18
3
user7348103675905
Michael muhoja :
tulio pitia haya gonga like mwanangu wewe ni familia
2026-09-11 17:22:20
17
dotto.keip
Dotto Keip :
amina
2026-09-10 15:41:31
2
user432352558804
us rapha chuzi :
nakubali wanangu
2026-09-12 04:52:30
2
jumajumanne73
pascal 20kipaj :
sana
2026-09-09 20:40:49
3
lamecknyab
lameck ny,, :
dah poleni😥😥
2026-09-11 11:42:24
1
godzero08
God love 💕 me :
💪kwel kbs ata mim nilikuaga hvyo henzi hizo 💪 jombaa
2026-09-13 13:37:16
2
sensei.aman05
@Sensei aman05 :
natamani tuunde group la watu kutoka mikoani tuliopo Darusalama
2026-09-13 12:49:46
2
To see more videos from user @user0750204481, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About