@omarimshairi: CAF CHAMPIONS LEAGUE PREPARATION Simba ndani ya Malawi kutetea nembo yake kimataifa, wanasimba tusimame kwa pamoja kutoa support kwajili ya timu yetu, Popote kwetu kambi tunahitaji heshima ya simba kimataifa ipatikane pia, Weekend hiii tutacheza mchezo wetu wa kwanza wa CAF championshis league dhidi ya mighty Wanderers, Sema neno kwajili ya simba. #nbcpremierleague #simbafc #simbanguvumoja #NguvuMoja