@islamicswahilinet: TUKITHIRISHE KUMSWALIA KIPENZI CHETU, MTUME WETU MUHAMMAD IBN ABDILLAH REHMA NA AMANI ZIMFIKIE Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 09:10:05 GMT
Music
Download
Comments
user511851726133 :
s.a.w
2026-09-03 11:20:13
2
Aswabru jameel :
allahumaswali wasalim alayhi
2026-09-03 14:30:05
1
Ally pingizi :
2026-09-04 21:21:38
1
Haytham Ibrahim :
Asante sana kwa ukumbusho Allah akubarik
2026-09-03 09:59:07
3
Mamii :
2026-09-03 12:33:09
1
عبدالرحيم فاضلي :
💚💙اللهم صل وسلم عل سيدنا محمد وعل الي سيدنا محمد 💙💚
2026-09-03 21:04:20
1
nassor bachu :
s a w
2026-09-04 12:14:45
0
Enahbabe❤️ :
2026-09-04 11:06:07
0
@Mamixx-mami :
s a w ❤️
2026-09-03 18:11:18
1
Raya Rashid :
Allahumma swalliy alaa Muhammad (SAW)
2026-09-04 09:45:14
0
Ramadhan Gogwe :
S.A.W
2026-09-03 11:43:19
1
Sumaya Ali🇰🇪🇦🇪🇪🇦 :
S.A.W
2026-09-03 12:04:49
1
Sumaya Ali🇰🇪🇦🇪🇪🇦 :
2026-09-03 12:05:04
1
abdinass9 :
S.A.W
2026-09-04 10:26:06
0
bashka :
S.A.W
2026-09-04 13:56:01
0
Rembo the one :
Allahumma swali alaa sayidina wa nabiyyina muhammad wa'ala a'alihi wa as-habihi wasallim
2026-09-04 12:46:06
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.