Allah akufanyie wepesi akupe shifaa kpnz chet upone akuondolee hasadi mtunzi wety mahisi🥰🥰
2026-09-03 09:28:15
24
Ramadhan :
saw saw
2026-09-04 18:38:37
0
Babby zuuh ❤️ ❤️ :
🥺🥺🥰one day
2026-09-05 14:12:05
1
DA REY 🥰🥰🥰 :
naomba fully hiyo qwasida🥰🥰🥰
2026-09-04 20:42:05
1
rahma one :
naomba jina la kaswida hii
2026-09-05 20:19:40
0
ROSHMA :
😭😭😭😭 Allah akufanyie wepesi akupe afya njema aliy ismail ikiwa kun kiumbe ambae yoyot kafany yak kukufanyia hasad Allah amuondoshee na ikiwa ni Allah mwenyew anakujarib mja Wak pia Allah akup subrah n nguv 😭😭 namuomba Mungu akupe afya njema biidhillah 😭
2026-09-04 08:23:37
3
zuleha :
natamani siku moya nikuone live
2026-09-04 10:52:09
1
warda 🥱shabn :
kaswida pendwa kondoa mashahlah mashahla
2026-09-06 08:42:28
0
Asma Abdallah :
Allah akujaalie kher nduguyetu
2026-09-04 07:04:45
2
rukia @ :
allah awafanyie wepes kwa kila jambo
2026-09-04 07:27:14
2
Hamida masudi :
Allah amfanyie wepes inshaallah
2026-09-04 08:52:13
1
Zuwena Mwishehe :
Allah akuponye
2026-09-04 10:32:35
2
Fetty🥀🥀 :
Hapa Ally alijiachia mpk rah
2026-09-04 07:48:48
1
karim benzema :
mungu akujalie upone haraka bro
2026-09-04 07:47:08
1
mwanaid official :
alla akufanyie wepesi kak tumekumisi san
2026-09-04 13:31:37
1
Twins beby :
mwenyez mungu akujalie afya njema maladhi akuondoshee napenda sana kaswida zako
2026-09-04 11:08:02
1
zubeda abuu :
hongera udugu
2026-09-05 16:55:02
0
Sauda Munyana :
Masha allah
2026-09-06 07:43:04
0
salafina :
daaaa mungu akulindee🙏🙏
2026-09-06 10:22:57
0
warda 🥱shabn :
kaswida pendwa kondoa
2026-09-06 08:42:45
0
HUSSEIN TZ :
Masha allah
2026-09-05 20:16:49
0
Nudhiat Massoud :
allah awafanyie wepes Kwa kila Jambo
2026-09-03 20:49:14
0
To see more videos from user @ummuh.radhia.media, please go to the Tikwm
homepage.