mbona tushaliongekea kwenye kikao unatakiwa kuwa na wapenzi wawili au watatu kama akiba🤣🤣
2026-09-04 04:26:27
188
Reyjohn :
Acha kbc kemea my sisy
2026-09-04 09:34:41
0
Livinus Vedasto :
mbn mzuri too
2026-09-04 20:06:09
0
icon lee :
pole mummy tunateseka wengi ase🥹
2026-09-04 12:13:38
1
KAISARY :
MARHABA hujambo binti bado sijakuonesha Dunia ilivo mm ndo MAPENZI mwenyew 🥰😂😂😂
2026-09-04 08:34:08
30
nLE-Jtine37.. :
hata mm huwez nipenda jmn...
2026-09-04 07:09:38
16
GOD'S FAVOURITE🧡💜♌️ :
pole mwaya🥰🫂
2026-09-04 20:11:02
0
Leon's :
pole kipenz japo kuwa sijaachwa ila nakaa kwenye mahusiano yanayoniumiza yan nampenda sana kwahyo kashaona mm mdhaifu kwake af nikimuuliza unanipenda ananiamby nakupenda sana had akanitambulisha kwao lakin matendo yake yan mtu unampenda af anaona namuigizia anaeza kukaa kimya asubh had jion nikimuuliza ananijb niliamua tu yan sasa mm nashindwa kuelewa sjui ananinafkia tu sjui ananipenda yan nitafka mbingun niko hoi
2026-09-03 16:31:00
26
إسماعيل أدهان :
Sorry for the 🥺
2026-09-03 22:58:27
1
𝐉𝐀𝐘 𝐂𝐇𝐑𝐈𝐒𝐒 𝐆. :
Blessed day to me and You started today, make sure you provide thanks to your GOD 👍👍👍👍
2026-09-04 12:23:50
1
❤️🔥☆fïn̈ě_ĝìŕĺ☆ :
Kila penzi litaonja umauti😅😅😅
2026-09-03 21:09:50
19
Emmanuel Tibu :
kwanin mlivyo tongozana hamkutangaz sas hivi mmeachana mmeona mtumalizie MB daaah😁😁
2026-09-03 20:16:19
25
Mr ngosha 💪😎💯 :
"Dah! ila sisi wanaume huo wema sisi hatuna" 😀😀
2026-09-04 11:48:25
7
Mustaqim's dady👑 :
mimi kama mapenz naomb nipokee hii shikamoo yako
MARHABA😁
2026-09-03 16:32:31
11
dismart :
😁😁 wengine sis hatupo kama huyo aliyekuumiza
2026-09-03 14:59:46
5
waki jr ☠️☠️ :
kazur ila kanalia kisa mapenz jmn pole🙏🙏🙏
2026-09-03 14:03:13
6
Whiteplaza.1💰😷🤐 :
Safii sana watu tulisha umizwa zamani we unasanuka leo saivi amna kupendana tena nikuchezeana tu 💔💔🥹🥹😭😭😭
2026-09-04 07:43:05
7
church boy :
mungu namuomba uyu niweze kuludisha tabasamu lake Kwa uaminifu kabisa sito mumiza kwelii ivi:😊😌
2026-09-03 17:41:49
8
Achuzy 🙌🏾 :
Naomba turudiyane basi ❤️🔥
2026-09-03 16:59:18
8
bablee breeze- 18 :
marhabaa,,,me ndo mapenzi mwenyewe,,naye kufanya leo ulie,,,nisameen wote naowaliza 😂
2026-09-04 10:20:06
2
Its swoddy🎭✨️ :
usijali.... ubaya unafwataga wabaya
2026-09-04 07:49:31
1
To see more videos from user @reylove281, please go to the Tikwm
homepage.