@simukitaa: Who Will Survive 72hrs? (EP 18).. je! Unadhani Ni Nani Ataibuka Kidedea Na Kuondoka Na 1,500,000 ? Wameanza 10 Na Ni Washiriki watano tu watakao ingia Kwenye Jumba La Maajabu unadhani Ni Nani Na Nani? Tunawakumbusha Tu sisi tushaanza Kupokea Pre Order Za iPhone 18 Series Kwa Wanaotaka kupata hizo simu mapema .. Unasubiri nini mwanakitaa?!!! Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori NB; IPHONE 17 PRO MAX SHOT IT NA SAUTI NI YA HOLLY LAND MIC #whowillsurvive72hrs #iphone18
wew na challenges zako mwishowe nifukuzwe kaz maan ata bos akiniita siend
2026-09-03 14:07:54
2
mamu❤️🔐💕 :
me navunja mbavu tu😂😂😂
2026-09-03 10:02:45
0
frankfuture@661 :
mbona Kila post mi nachelewa kuipata
2026-09-03 10:35:52
0
Mep 🦁 :
ungetumia zile challenge za awali kupunguza wa shiriki wabaki wachache ata wawili au 3 ingenoga zaidi na ushindani ungakua mkubwa naingevutia sana na ubufu ungeongezeka niushauri
2026-09-03 10:56:40
0
ceeh🦋 :
yaan izo sounds mnazotumia ndo kabisa mbavu sina mie😅😅😅😅
2026-09-03 22:19:14
0
Etia's🤍Daughter... :
nmecheka Jmn 😂😂😂
2026-09-03 11:53:58
1
the last man :
team DOREEN
2026-09-03 17:21:34
0
Blessed Angel 😇 :
😅😅😅😅😅sema.mnagame nying had rahaa
2026-09-04 08:07:53
0
Richard :
daaah najikut tuu na enjoy
2026-09-04 08:05:42
0
gideyuya :
vancy vancy
2026-09-03 17:27:37
0
reman reign@92 :
daaah unajua kuweka ivo vinyimb daaah
2026-09-04 06:45:44
0
𝑇𝐼𝑇𝑈𝑆 𝐾𝐸𝑇𝐼𝑆𝑈𝐵𝐴 :
wa pili apa
2026-09-03 09:41:00
0
To see more videos from user @simukitaa, please go to the Tikwm
homepage.