@rfi_sw: Rais William Ruto amewataka raia wa kigeni wanaojihusisha na biashara ndogo ndogo hasa Wachina, kuachana na biashara hizo. Kwa mujibu wa Ruto serikali itachukua hatua za kuwalinda wafanyabiashara wa ndani dhidi ya ushindani usio wa haki. Akizungumza baada ya kukutana na wafanyabiashara wadogo wadogo jijjni Nairobi, Ruto anazungumzia wasiwasi unaoibuka kwamba baadhi ya raia wa kigeni wameanzisha biashara ndogo ndogo, wakionekana kushindana na Wakenya wanaofanya biashara hizo. #nairobi #williamruto #EastAfricaCommunity #Wafanyabiashara
Africans, don't worry from next year we will have a new president
2026-09-03 15:20:59
3
Top One Furniture254 🇰🇪🇰🇪 :
uyo madamu akaongea vizuli
2026-09-03 11:29:25
5
Baba Shemeji :
ukiwa Na roho mbaya huwezi penda jirani😂😂😂
2026-09-03 18:03:04
5
wickey :
buy kenya build kenya
2026-09-03 18:02:15
2
adiliblessing :
Sasa Hawa watoto tumezaa nahao wakenya tunafanya aje basi 🥺🥺
2026-09-03 17:16:41
1
☚⍢⃝☚CITY STUDIO :
najua mahali wakenya wako nikifika tunabadirisha cha lazima
2026-09-03 15:27:57
2
MCA Chris :
hii ufala Kenya tunaelekea pabaya sasa
2026-09-04 01:26:05
2
user 0715803176 Lema ketere :
pesa za kenya ni nzuri so msitufukuze
2026-09-03 18:22:35
1
bounty killer :
kwa mara ya kwanza rais ameongea
2026-09-04 09:06:55
3
user7967590235772 :
Rais amesema ukweli kabisa.ss tulienda kwao kufanya kazi gas company tulilipia working permit 500 dollars per year.
2026-09-04 07:15:12
4
Tachoni son :
ubaya ni wapige kura😂😂Tukiwapata kwa line ya voting weweee😂😅😅🤣🤣
2026-09-03 19:00:57
1
shadrack Charles kalei :
mama ni mama tu mwenyezi mungu akubariki
2026-09-03 19:07:41
3
NovaKhan :
Huyo Mama ameongea vizuri sana,
2026-09-03 16:34:55
4
usermnlo789 :
Samia pia alifanya hivyo mwaka jana
2026-09-04 18:20:28
1
Kedron :
What about the Shirika Plan? There are also refugees living in urban cities, including those who receive financial support from non-governmental organizations to start small businesses. How will they be included in the plan? What will happen to them?
(UNHCR)
2026-09-04 19:27:01
0
Maureen Kimuli :
yes Kila mutu kwao
2026-09-03 14:55:13
2
To see more videos from user @rfi_sw, please go to the Tikwm
homepage.