🤣🤣eti hii challenge ufanye ukiwa na ndoa takatifu na mume alie okoka au mchumba alie okoka😢😢😢kwa sisi wajane tusiifanye au🤣
2026-09-04 04:03:14
0
_MAMA_MZUNGU :
wahoooo mkinga we🤣🤣
2026-09-04 04:46:25
0
Mwl will John :
Ufunuo wa Kanga huu ndio pale unatukumbusha
BWANA Mungu akawafanyia Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika
KUWEZA kuwastiri
Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri pamoja na adabu nzuri na moyo wa kiasi si kwa kusuka nywele wala kwa dhahabu na lulu wala kwa nguo za thamani
Je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, ambaye mlimpokea kutoka kwa Mungu? Nyinyi basi, si mali yenu wenyewe.
HEKALU | LA MUNGU | LINAANZIA | NJE MUONEKANO | MPAKA | UTU | WA NDANI | TUTAKUTAMBUA | MATENDO
MAVAZI | HUMTAMBULISHA | MTU
KAMA | UKIYATUMIA | VIZURI ✍️✍️MUNGU AWASAIDIE 💃💃💃
2026-09-08 15:36:35
0
To see more videos from user @lydialavish_salon_iringa, please go to the Tikwm
homepage.