@abdulhafidh575: ALLAH ATUHIFADHI NA SISI TULIOBAKI KWENY NDOA ZETU AAMIN AAMIN

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 11:49:39 GMT
121349
5170
300
912

Music

Download

Comments

madamleybeauty
Madam Ley 💄 Beauty :
mm namwambia oa full stop
2026-09-24 11:09:52
0
zari.shaba
zari shaba :
Asante
2026-09-24 15:31:47
0
mdigo25
MDIGO :
mume wangu amesha kubuhu asaivi mpka wake za watu😭😭😭
2026-09-03 13:12:37
106
raynmalika
P mchina :
Sitorudia tena kwenda kusema ukweni utaaibika wa kwao niwa kwao tu bora uamue kujifanyia maamuzi yako binafsi
2026-09-03 13:44:44
96
tianah.nick0
Tianah Nick :
wakwangu kazarisha mke wa mtu
2026-09-24 18:00:02
2
ashuu.jumbe
ashuu jumbe :
kuachana kwa sababu ya kuchet tushavuka uko atok mtu aingii mtu
2026-09-03 17:45:53
22
user1276005277563
Ayra berry🦋 :
tulishasema sana kwa wazazi lakini hakuna mabadiliko mambo ni yaleyale sasahv tumeamua kukaa kimya kuangalia tu
2026-09-03 17:15:46
24
nasrahakika
Ukhty naa :
mmmmh ukisema kila kesi upeleke nyumbani watamchukia huyo mwanaume maana hakuna mzazi anaependa kuteseka kwa mtoto wao
2026-09-03 13:02:33
37
mesa3228
Melisa🥰 :
Mimi wangu nikimsema kwao mmke anamtetea,
2026-09-03 19:10:15
6
khadija.msuya
Khadija Msuya :
Nilivumilia nikashindwa ,mume anawanawake siyo chini ya wa 3 nikapewa mpaka talaka jmn😭🙏
2026-09-03 17:41:12
7
raiyan8606
raiyan :
dah mungu tusaidie 🥺
2026-09-04 15:13:19
5
official_jack48
official_ jack🥰 :
jamani mimi nimechoka niongea sana nimemwachia mungu tu bas 😭😭😭💔💔💔💔
2026-09-04 06:03:42
5
resivarobert
bint mmalila🥰 :
nisha aga mashindano me na wiki ya pilii saiv 🙌
2026-09-05 05:46:10
1
asiaabeid4
asia :
ukishtak wanasema unatoa siri za ndani nje
2026-09-06 07:13:12
3
user33497598382
user33497598382 :
wanaume wanapenda kutuaibisha sana hata nimechoka
2026-09-03 23:30:16
7
latifa.kitima8
Latifa Kitima :
kweli kabisaaa
2026-09-05 17:37:51
1
khadija.maulidi5
Khadija Maulidi :
Wa kwangu alikua mpk anawaleta ndani kulala nao nimeumia mpk sasa moyo wangu umepanuka naichukia sana ndoa😭😭😭
2026-09-04 03:43:12
8
esha11g
Faizah :
ukweli kabisa utapata maradhi pia stress ni hatari sana better to be alone.
2026-09-03 13:30:18
5
ahlam.ellbattawy
Ahlam Ellbattawy 😍 :
Allhamdulllah niliondoka mapema 🙏🥰
2026-09-03 13:28:33
16
nillahskylar
mamake :
true
2026-09-05 16:02:16
1
bimbatuli
Bimlat Juma :
shida maelezo n mengi ongea point kwa point
2026-09-05 17:43:05
2
anshdn2
sarah liu :
sana naambiwa ndoa zina siri nyingi na mambo kibao yahitaji uvumilivu sas mejikalia tuli
2026-09-24 10:55:04
2
madame.denis.lucie
madame Denis lucie :
bien parler papa Mungu akubariki
2026-09-05 15:43:57
2
kichuna085
bibiee085 🤭 :
shekhe nioe na watoto 3 🥺
2026-09-03 20:32:30
4
janethzabron24
Janeth zabron :
mungu akubariki sana
2026-09-05 20:38:48
1
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About