pamoj kak tupo pamoj sana my current condition 🤕🤕
2026-09-03 23:34:57
2
super nyota :
😎😂
2026-09-03 21:42:19
1
JONAS CHARLES :
Ai
2026-09-04 19:34:41
0
Allyzo Ramodo :
mm mwenzio nme susa nmetulia kwanza navuta pumzi
2026-09-04 10:12:06
0
Raji white45 :
division 2 umefikaje wakat game wanaunganisha zote
2026-09-04 19:38:11
0
jr 🥷 :
😂😂😂 huo wema hakuna
2026-09-04 18:18:45
0
Vanny :
kwanza apo hua kwenye win inatakiwa kua kijan , dro kijivu af loose ndo nyekundu 😅 we ume edit kote nyekundu 😅
2026-09-04 17:57:11
0
Gei4 :
kwamba walikupangia PSG pekeyake au wewe ndo Konami mwenye nino
2026-09-04 20:12:47
0
Rash10 :
Ulifika division 2 kwa lose au sio mwanetu
2026-09-04 17:38:21
0
joshua the great :
Tupo wengiiiiiiiii
2026-09-04 18:05:32
0
@nicotz :
dah wew tuko mapacha nshajaribu kila mfumo wapi dah nimeamua mpaka phase ijayo maan efootball hawafanyi haki goli ninalokosa mmi alaf ndo Hilo Hilo goli nafungwa dah naumia san
2026-09-04 08:08:38
2
mashauri jr9 1995 :
sisi tumetulia kaza😂😂😂
2026-09-04 20:10:24
0
LeNi istore :
2026-09-04 14:13:11
1
To see more videos from user @its_kelv0, please go to the Tikwm
homepage.