au unaitupa Tena unaiokota Alf unaenda kumdangany mama nimeokota hela
2026-09-03 15:02:04
261
jenny :
Ndy maana hela zakuokota zamani zilikua aziishi kumbe mlikua mnatupa makusudi😂😂
2026-09-04 17:50:43
104
Ruwih brand🦋 :
umenikumbusha mbali siku moja mama alinitma mafuta ya elf2 nikanunua1500 ela nyingne nikanunua maandaz nilikuwa najua Naya maliza lakn yalinishinda ikabid niyatupe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-03 18:25:08
82
user2569288358322 :
moments za wat ndo zaniacha hoi
2026-09-04 11:04:21
1
Baby winnie❤️ :
Nilinunulia wanafunzi darasa zima mandazi😂😂😂
2026-09-03 14:09:38
16
VENE🥰🥰 :
mm nikaficha kwenye matofari naludi Tofali wamehamisha nilililia mm
2026-09-03 13:58:52
33
user4161815771306 :
Na saiv 😅
2026-09-03 20:08:49
0
@Jamesletoyie :
bat now why
2026-09-04 22:48:24
0
Derick Khaan :
naandika ila baba naomba asione comment hii ataniua😁😁😁
umenikumbusha mbali nilipoibaga elfu kumi ya baba aliyokuwa anategemea akashone suti, nikaenda nikanunua biscut za buku, nakwambia nilikulaga biscut mpaka nikavimbiwa na kwenye hesabu ya pesa yote ndo kwanza nimetumia elfu moja , na nimeshakula biscut mpaka nimefanana nazo halafu na bado nyingine ninazo😂😂😂 shida ilikuwa kwenye nguo ulizovaa hazina hata mfuko wa kuhifadhi kitu😁😁 hapo ndo nilikuwaga nachoka mimi😁😁😁 unaambiwa ile elf tisa nilienda kuitupa mtoni isionekana😂😂😂
kuludi home nikamkuta baba katoa kitanda, meza mashuka anachambua moja baada ya jingine anatafuta ile pesa😁😁😁😁
sijui nilifanya mistake gani si nikajamba, dadeki unaambiwa ile harufu kali ya ushuzi mzee ikamsanua 😂😂😂 baba akasema mbona kama ushuzi wa biscut huu😁😁😁 kwakweli stasahau nilizibuliwa kama choo😂😂😂😂
2026-09-05 10:29:09
7
Mamuh lux collection :
that me
2026-09-04 17:32:23
0
📌📌ODOH🦀🦀 :
😁nikienda kusaga unga na natoka sado moja nauza ntapata ya kwenda kuwa mtoto wa tajir shuleni ni mwendo kutafna mda wote dah
2026-09-05 08:29:49
5
frank :
mimi niliiba elf kumi nilishindwa kuitumia kila duka ninaloenda wananikataria mpaka wakanifuma nayo kilicho fuata mungu ndo anajua
2026-09-03 18:39:39
107
rahma saidi abdallah :
hahahhaaaaaaaaaa
2026-09-04 14:08:25
0
mjungu tz💫 :
me sikutupa nilikuwa naingizia kwenye ukuta wa nyumba zile za udong nikirud kesho kuchukua nimesahau nilipo ingizia natafuta matundu yot mpka nasema siku nyumba ikiwa inabomolewa takujaga niangalie
2026-09-04 12:55:39
14
salmada6133 :
Yani wewe umeni kumbusha mbali sana iyoooo 2012 ni liiba elfu 10000 ni kanunua mapakti yachama 3 alafu muuzaji ni kamwambiya abaki na chenchi😅 na fikagetini mwalim mkuumsaidizi had kaogop🤣 wat wakatumwa wakamuite mzazi Ili wajuwe ela ni mepatawap ukini cheki sket Haina kifungo chini sija vaa soksi😅 usisahau shat limejikunja hatali😂oya mama Ana fika shule Ana niuliza ela ni metowa wapi ni kamwambiya mjomba mjomba Ana pigiwa Ana sema sijampa ni kaanza kuwa changanya mwisho wasiku bibi Ana piga sim ela yake ime potey oya 🤣🤣🤣 fanya kama una ona mwalimualivyo waambia watu Wana shike mikono na miguu😅
2026-09-04 13:28:41
8
Amaan Chilala :
mm nilikuwa kila siku narudi na story ya kuokota hela kumbe walishanishtukia wakaniwekea mtego kama kawaida yangu nikaenda kuichukua nikaanza kujiongelesha nimeokota wakaenda walipoitegesha hawakuikuta 😅😅😅 aisee nilikula kichapo mpaka nikaacha udokozi
2026-09-04 16:35:56
5
Thomas .J. S :
kilicho kuwa kinaumiza akili wakati ule ni kwanini hela inagoma kuisha 😂😂 ili uwai kurudi nyumbani
2026-09-04 17:17:28
8
Christina da Valle Valle :
daa kuna siku niliingia kwa dirisha la ba mkubwa niliiba ela nikaenda kununua bigijiii nikazificha Kweny raba Alf zile raba nikavaaa nikaenda kanisa Asa kabla sijatoka kanisa nikatoa moj nikawa nakula kumbe shangazi yangu alikuwa nyuma yangu na ashalalamikiw ela imeibwa akakuta nimm na Chenge ilikuwa bado kwenye kiat nilifinyw ile siku mpk nikajinyea wakaanza kutafuta maji ya kuniosh duuu sijawahi kuiba tena mm🤣🤣🤣🤣
2026-09-03 18:14:03
5
Rache beauty sarun 0752882757 :
kumbe mm nilikua mjinga sikuwai kuiba kaela lakini kamboga nilikua naiba
2026-09-04 07:34:34
7
Janet Daud :
nilifukia sehem nikasahu kabisa ni wap
2026-09-04 07:52:45
5
KAYINGA_TZ :
Niliiba elf10 ya dada nyieeee initesa ile elaa vibama kipindi icho shintano yani ukitumia mia hoiiiiiiiiioio😂😂😂
2026-09-04 10:35:00
32
berry🍇🍇 girl🇮🇳🇹🇿 :
nilishawahi iba 2000 ya mother nikailia juice,pipi, maandazi ,biskuit na bado haikuisha nikatupa mia nneee😅😅😅😅😅😅 daaaah
2026-09-04 16:23:03
14
Cleopatra Malekela :
hahahaha ujue nimecheka sana
2026-09-04 09:44:52
8
🔥manoma tz🫡🇹🇿~ :
🤣🤣nimecheka mpaka nimefariki 🙌~
2026-09-04 15:53:49
11
𝐷𝑒𝑒_🦁 :
labda sio Mimi jamani sijawahi kutupa pesa nilikuwa naita marafiki tunaimalizia au nawakopesha😂😂😂Ili wanilipe kesho yake shule 🤣🤣🤣Sasa sijui na wenyewe walikuwa wanaiba maana nilikuwa nalipwa
2026-09-04 12:56:50
12
To see more videos from user @fravius01, please go to the Tikwm
homepage.