@rubabaimani: Unaweza kuwa na nguruwe 20, 50 au 100, lakini je unajua: 1.Umetumia kiasi gani kwa kila nguruwe? 2. Ni yupi anakua vizuri na yupi anasuasua? 3. Umetumia kiasi gani kwenye chakula na dawa? 4. Mwisho wa siku, faida yako ni kiasi gani? Kama huna majibu sahihi, huenda unaendesha ufugaji kwa makadirio. RUBABA MEDIA × SHAMBA MANAGER Tunayo furaha kutangaza rasmi kwamba Rubaba Media tumeingia makubaliano ya ushirikiano na Shamba Manager ili kuwasaidia wafugaji Tanzania kutumia teknolojia na data katika kusimamia mashamba yao kwa ufanisi zaidi. Kupitia ushirikiano huu, Rubaba Media ndiyo sehemu yako ya kuanzia — tutakuelimisha, kukusaidia na kukusajili kwenye Shamba Manager. Fuatilia uzito, ukuaji, afya, gharama, chakula, uzazi na taarifa muhimu za mifugo yako. Usijue tu una nguruwe wangapi. Jua kinachoendelea kwenye biashara yako. 📲 Wasiliana nasi WhatsApp: 0764 148 221 #ShambaManager #RubabaMedia #UfugajiWaNguruwe #NguruweTanzania #SmartFarming
Imani Lubaba
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 12:53:05 GMT
Music
Download
Comments
Fredrick Elias :
watipotowanapatikana wa nguruwe
2026-09-07 14:55:58
0
To see more videos from user @rubabaimani, please go to the Tikwm
homepage.