@pretty2606__: #skintintvelovepevita #skintinttimephoria

Prettyhabit🍓𓂃⋆.˚
Prettyhabit🍓𓂃⋆.˚
Open In TikTok:
Region: ID
Thursday 03 September 2026 14:00:00 GMT
99
3
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @pretty2606__, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

OMBA MAOMBI HAYA KABLA YA KUINGIA KANISANI: Ee Baba wa mbinguni, Mungu uliye juu ya vyote, Mtakatifu wa Israeli, Asante kwa kunipa uhai na nafasi hii adhimu ya kuingia katika nyumba yako takatifu. Ninasimama mbele zako leo nikiwa na moyo wa unyenyekevu, nikikiri kuwa bila wewe mimi si kitu. Ninatubu kwa kila dhambi niliyotenda kwa kujua au kwa kutokujua, kwa maneno, kwa mawazo, kwa matendo na kwa kutotenda mema. Unisamehe Ee Bwana, unitakase kwa damu ya Yesu Kristo na kunifanya kuwa safi kama theluji. Ee Roho Mtakatifu, nitangulie katika ibada hii, unifundishe namna ya kumwabudu Mungu katika roho na kweli. Ninaikataa kila roho ya usingizi, kila mawazo ya dunia, kila mzigo wa kiroho, na kila usumbufu wa kipepo usiopenda niabudu. Naomba ulinzi wa malaika wa Bwana unizunguke kuanzia lango la kanisa hadi mwisho wa ibada. Ee Baba, fungua mbingu zako juu yangu leo, nishushie rehema zako, nionjeshe uzima wako, nipe sikio la kusikia na moyo wa kuelewa, neno lako lisikapite bure bali likae ndani yangu na kunibadilisha. Ninaomba kila nguvu za giza zinazonipinga katika ibada hii zipoteze nguvu zao kwa jina la Yesu. Ee Yesu, niandae kwa ajili ya sadaka, ibada, na neno lako – nikutane na wewe katika utukufu wako. Naomba siwe mtazamaji tu bali mshiriki halisi wa ufunuo wa kiroho. Ee Bwana, ninaingia katika nyumba yako si kwa mazoea bali kwa kiu ya kukutana nawe; naomba usikie kilio cha moyo wangu, unitendee, unifungue, unipeleke hatua nyingine ya kiroho, nami nitakutukuza siku zote za maisha yangu. Kwa jina la Yesu Kristo aliye Bwana na Mwokozi wangu. Amina.

About