@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amegusia Juu ya Watu Ambao Wamekua Wakionekana Ni Wahuni Katika Jamii Kwa Kiasi Kikubwa Ndio Wanahusika Na Kubeba Na Kuchimba Makaburi Katika Jamii Ni Vyema Kuhakikisha Audharau Mtu Yoyote Sababu Katika Jamii Ni Vyema Kuwapa Heshima Watu Wanaoonekana Kama Ni Wahuni Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amewakumbusha Baadhi ya Watu Wenye Hizo Tabia za Kutowapa Heshima Awo Watu Washenzi Na Wahuni Kwa Kiasi Kikubwa Ndio Wanaongoza Kufanya Hisani Katika Nyakati ya Dhiki ikiwepo Kuhusika Wakati Wa Misiba