@clemence.mwandambo: Mungu alijuaje yeye ni Mungu? Clemence Mwandambo anauliza.

Clemence Mwandambo
Clemence Mwandambo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 13:37:35 GMT
3473
164
16
14

Music

Download

Comments

ongenge2006
LE STRATÈGE :
mungu wa dini ameumbwa na wanadamu 👍
2026-09-10 18:43:23
0
kenani22ke
kenani :
ww mtafute umuulize utapata majibu
2026-09-06 09:41:41
0
englodenmico
MTU MWEUSI :
kwani we ulijuaje kama wewe ni clemence mwandambo??tafadhari naomba utujibu
2026-09-11 09:19:03
0
user6844877027756
poultry farmer :
shida sio kuwa Mungu, Mungu ni jina tu la heshima ya aliyeviumba vyote wako aliyekuumba unamuita Nani.
2026-09-18 14:26:20
0
matirdajoseph
Tida collection👙 :
Mungu hachunguziki uncle
2026-09-03 13:51:38
0
rodafungo
rodafungo :
kumekucha tena
2026-09-04 05:54:05
0
benard2086
Benard :
mtafute alipo umuulize
2026-09-03 16:29:07
1
mary.og57
mary og :
ww baba umerudia tena mwana kulitafuta mwana kulipata finale kuja hutakua na uttez
2026-09-03 13:49:51
0
heri.kayezu
Heri Kayezu :
utwjibiwa na MUNGU subiri tu mda wako umefika
2026-09-04 13:15:01
0
kala.mzuluvendi
Kala Mzuluvendi :
Halafu watu kama nao wanashauri mambo ya nchi
2026-09-06 10:47:06
0
chemilshirima
CHEMY :
apo Sasa ndo nashindwa kuelewa na huyo mung hakujiuliz nae kua alitoka wap au aliletwa na nan
2026-09-03 18:26:50
1
kilomba0018
Kilomba 001 :
wafia din kaz kwenu
2026-09-04 08:24:05
1
user8571696988177
kurimember :
leoni mecheka mnoo🤣🤣🤣🤣
2026-09-16 18:18:37
0
user3468162698307
mr Light :
🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕
2026-09-10 13:24:56
0
waga.waga1
WAGA WAGA :
😅😅
2026-09-07 17:55:05
0
To see more videos from user @clemence.mwandambo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About