@islamicswahilinet: DALILI YA KWANZA YA MWANAMKE MWENYE MAPENZI NA MUMEWE Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 13:40:07 GMT
Music
Download
Comments
Fadhil mapinduzi255 :
mashallah mawaiza mazuli
2026-09-03 14:19:58
8
Lovely🌹 :
kwel kaka tunapenda kwel
2026-09-03 16:42:54
4
🦋🌸MN QUEENLY WEAR 🧕 :
Bora umetusaidia kusema ukwel
2026-09-03 21:14:06
1
❤Mom Aliyah🌸 :
wangu anatembea usiku kama mwizi vile 😂😂😂
2026-09-03 20:48:18
1
faykarim :
usiache kumuombea ALLAH atamfanya kua yule umpendae
2026-09-03 20:24:02
1
Chala🥰 🥰 :
nilikunmwamby unchelewa kurudi unarudi saa 6 au 7 siku nyengine alfajiri Hyo majibu ninayo pewa Allah pekee ndo anajuwa Allah saiv naichukiya ndoa yng km nn najiona si lolte kwake jmn 😭😭😭 naumiya mpka Leo hii naandika huku naliya 😭😭 upendo jmn munaopwenda usipuuze pendo lko 😭😭 inauma kuolewa na mwanamme asye juwa thamni y mke wake 😭😭😭
2026-09-03 17:57:41
4
shadya Saidi🇹🇿🇰🇪 :
nikweli kabisa
2026-09-03 16:58:14
1
bi mzuri🥰🇹🇿🇧🇮 :
mm sitak kupenda
2026-09-03 20:35:10
1
mxoja :
sahihi
2026-09-03 14:18:56
2
Nashrii idrissa :
mashallah
2026-09-03 16:36:29
1
bahatikhamis205 :
kwel sheh nakukubal san
2026-09-03 15:52:13
1
chamy baby :
kbsa
2026-09-03 15:56:53
1
ABR :
mm niko kila maharishi sijuwi mutanieka wapi😂
2026-09-03 20:00:43
1
Yusra Juma :
wa kwangu mwanzoni nilimpende yy akawa yuanipuuza..sai napenda pesa zake kumliko adi raha
2026-09-03 23:33:00
0
hadiya :
hahahahaaaa hapo kwa kuoga hasad weeeeh nachokaaa
2026-09-03 22:55:24
0
nunaty :
Sheh apewe ulizi
2026-09-03 17:39:37
0
Kɪɴɢ Aʙɪᴅᴏʟ..! 🤴🏽 :
Baadhi ya wanawake wa sasa, moyo wao bado uko zaidi kwenye familia walikotoka kuliko familia waliyoijenga kwa mapenzi. Kuwajali wazazi ni baraka, ila busara ni kutosahau nyumba uliyoamua kuijenga.
2026-09-03 22:13:50
1
there_wawinnah :
da pipi nishushe
2026-09-03 17:02:03
2
Aisha :
🥰🥰
2026-09-03 16:00:47
1
avintishy :
@Salehe Momba 🥰
2026-09-03 16:25:07
1
BOULLER :
@Peacefulsoul🤍
2026-09-03 16:36:41
0
Mwajabu Kobembe :
🥰🥰🥰
2026-09-03 16:05:39
1
mwanamkasi :
👌👌
2026-09-03 17:32:50
0
naayma :
❤️
2026-09-03 20:40:54
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.