huo mtanzamo wako na umefeli simba anashida 3 moja isevu hiyo😂😂😂😂
2026-09-04 08:07:19
18
mst mst :
sijajua hiyo mechi inapigwa tarehe ngapi ???
2026-09-03 16:31:56
6
sophia kadamsh🥰💞💞 :
simba ya dumbia sina uakika
2026-09-03 15:48:01
4
benedictorwilliam7 :
leo umebugi
2026-09-04 05:29:50
2
MWANAGINHI OG 🇹🇿🙈 :
kaka uwakika umetisha sana
2026-09-03 17:36:57
2
KACHORY DARY🇹🇿 :
*miw 1:2 s tan
2026-09-03 15:06:59
2
Mr Ahmedy :
Simba kufungwa ni ngumu labda sare ya bila kufungana
2026-09-03 16:26:00
2
Sadick Ahmed chande :
Akuna forward za kuifunga Simba goli mbili pale Malawi yaani Bora ungetabili sale ya Moja Moja au kama unaichukia sana ungesema Simba Anafungwa Moja bila
2026-09-03 16:12:41
3
N@SEEB _83 :
sijawai kuona umepatia ata siku moja
2026-09-04 16:09:06
1
Nine Tilled Fox :
hakuna
2026-09-05 08:30:27
1
linzah053 :
naomba uje kutupostia na baada ya mech Mzee baba maana wewe n yanga dam dam 🤣
2026-09-03 16:12:08
1
#MillionairWorkshop :
Haiwezkan magori mwisho ma3 hayazid hapo chezesh kad Vzur