lucita usiombe upokee habari kama hyoo jmn jmn🥹🙆♂️🙆♂️🙌🏾🙌🏾
2026-09-04 01:57:05
15
ESMA COLLECTION & COSMETICS :
Ko apo unamwambia nani😂
2026-09-03 14:25:44
33
vonTrend collection :
Nikajua mim tu😹💔
2026-09-03 16:04:15
10
Raj cute :
Sikupigiwa ila niliona ticktock kapostiwa ameshafariki wakati siku tano kabla Ali uombe msamaha akaniomba nimzalie alikuwa anatoka dar ananifata mbeya tutafte mtoto ndo akapata ajari na kifo Hapo Hapo mpaka Leo sitaki kuamini nilijiambia nitamuenzi mwaka mzima ndo Nitaanzisha mahusiano mengine 😭😭😭😭😭
2026-09-03 16:22:59
6
it's me💫💥 :
Umesahau kama na wewe ni ex wa mtu jmn😅😅
2026-09-04 04:16:43
4
TONNY>🍀🍀💫👑 :
2026-09-03 14:18:45
4
Half Girlfriend 🌹💫 :
katika siku umeongea point leo umeongea point
2026-09-03 16:57:31
7
official lee :
alafu ata mm why lakin
2026-09-03 14:10:39
2
babe Ollie :
jmn Lucita nakupendag vibe lako
2026-09-03 14:09:44
5
lehema👌👌👌 :
hila lucita jmn
2026-09-03 14:11:26
3
Martha bad girl :
mamb mlemboo 🥰🥰🥰
2026-09-03 14:10:15
1
🍭🙌🫦my :
ata mm sijawai kupigiwa sijuw kwann
2026-09-04 17:14:43
0
ms nelcy🥀 :
Dada ruciiii jamni nakupenda mm🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-03 14:07:06
1
Barbie❤️ :
😂😂😂
2026-09-03 14:07:30
0
__ EMMIE🦋 :
Leo umenikoshaa🤣😂😂
2026-09-04 15:38:51
0
lucy hamisi :
Mmm wajina
2026-09-04 16:16:07
0
Mary Osward :
…usiombee
2026-09-04 17:40:17
0
Nuru cosmetics01 :
daaah ila Lucita😂😂😂😂 ila hii kweli
2026-09-04 17:34:57
0
nifer💞❤️ :
😂😂
2026-09-04 15:18:30
0
shakilamoyo :
😂😂😂😂
2026-09-03 14:13:12
0
To see more videos from user @aiemlucita, please go to the Tikwm
homepage.