@islamicswahilinet: "IKIWA HUNA HATA SHATI ULILONUNULIWA NA MKEO, BASI HUPENDWI" Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 14:12:12 GMT
Music
Download
Comments
MUHAMMAD123 :
Lover one sio wote
2026-09-04 03:14:17
0
user7671519837972 :
wape hao hawajui
2026-09-03 22:37:49
3
bahati kiss :
shee acha kutungombanisha nawamezetu
2026-09-03 17:07:20
8
Habiba Khalidi :
mimi nikifany alafu yeye asipo fanya je ananipenda au hanipend
2026-09-03 15:38:20
8
fazaboy👣 :
Sio wanawake hawa tuliokua nao sasa
2026-09-03 17:13:57
1
@ummy ima :
😭😭 huyu ni mie sipendi pesa nataka amani tu ya moyo wangu😭😭😭
2026-09-03 19:29:09
3
Fatma Mwadindi :
shekhe mm usinisemee ,napenda hela jamani,na kumpenda nampenda
2026-09-03 20:42:26
2
umuiman :
very true
2026-09-03 20:47:06
1
Imamu :
well said! wallai
2026-09-03 20:43:58
1
zaka mc :
bado sija ona
2026-09-03 20:30:46
2
Becca thugy ranger :
Ostaz nawapata wap kma hao
2026-09-03 21:49:52
1
@@@.tz :
fact
2026-09-03 19:54:24
1
ĎÌẒ̌Ẓ̌Ø❤️🔥🌍 :
shee wanigombanisha sasa😅😅
2026-09-03 21:13:41
1
Hawa sarahan :
kweli kabisa
2026-09-03 21:09:16
1
kaijageanord666 :
daah naanza kumpenda Mke Wangu kuanzia Leo Sasa Maana Hayo uliyo sema Yote anafanya Kwangu
2026-09-03 16:52:08
5
Rider 007 :
ni kwel
2026-09-03 20:29:04
1
Ibrahim Pasha :
Tutetee sheikh 😁
2026-09-03 17:46:54
1
Mimah Omary Msangi :
Mashallah
2026-09-03 18:08:03
1
LOVER ONE :
nilimpenda sana mpenz wang,sijawai muomba hata Dala,namnunulia kila aina ya suprise yy hajawai hata siku moja,ila nampend sana punde c punde akaoa to mtu mwingine,,, sipendi tena mtu duuhh
2026-09-03 17:29:37
2
zerobrain :
Mimi vitu vya mwanamke sivitaki, mwanamke akikupa kitu hakupi akasahau anakupa huku anakieka rohoni anaona kama una shida sana kwahiyo kakusaidia
2026-09-03 18:27:16
1
rsm :
huyu bwana afundishe vtu vingine sio wanawake tuuu
2026-09-03 20:33:41
0
zashaa pac :
kwani si mlisema tuwasililize bas
2026-09-03 21:45:15
1
Denise Swahiba :
hahahahah jaman
2026-09-03 17:19:14
1
ally :
yarab naomba mke mwema
2026-09-03 17:26:37
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.