bola ata ningekuwa naomba najibiwa
iyo siku Yesu na mungu wataacha ndala
2026-09-04 09:50:14
475
yeyefoty💦🌵 :
ntakukumbusha hii post
2026-09-04 13:58:12
74
beautybyneequa :
No frrrr !!!! Cause if i have my rights duniani, i should have even more rights uko mbinguni😭🤌🏾
2026-09-04 14:32:49
0
up coming boss lady 🥰🥰🥰 :
Mungu atusamehe na kuturehemu hatujui tulitendalo 😭😭🙏🙏🙏
2026-09-04 14:24:43
307
Jofrey gervas :
hata usipocheka mungu anaangalia moyo
2026-09-04 16:31:46
67
Zoowenery🦋🥰 :
Pumzi inatudanganya sana binadamu yan watu mna kufuru nje nje mkizani nisifa aya bwana
2026-09-04 16:56:27
64
⛏️𝓗𝓪𝓶𝓶𝔂 𝓖𝓸𝓵𝓭💰 :
wanangu mna dhambi mpaka nawaogopa
2026-09-04 12:12:40
150
RaustarBoe :
MUNGU MWENYEWE HAAMINI ANACHOKIONA KWENYE COMMENT SECTION HUMU🙌
2026-09-04 15:07:11
72
itsnunuh69 :
Anha sawa nakusubir tukiwashe kaka
2026-09-04 05:01:31
113
Mr.m theboe :
Ngoja tu nitoke huku, hizi comment zinanifanya natenda dhambi kwa kucheka😂
2026-09-04 14:51:18
41
cocktail yg :
lkni all in all we should never make funny of GOD
2026-09-04 16:00:56
2
Rachel❤️ :
yaan wanatakaje kunichoma wakati sikuchagua mm kuishi dunian
2026-09-04 17:59:15
7
Trade_Muzik :
kutafuta umaarufu mtandaon kuna tupelekea kukosea pakubwa uzuri wake MUNGU anasamehe na nafasi bado tunayo tumuombe msamaha na kujutia tuamini ata tusamehe
2026-09-04 17:32:50
8
GOLDEN SUKA :
kwanza nilizaliwa bila ruhsa yangu🤣🙌
2026-09-04 12:55:22
63
salama :
usikute dunia ilishaisha sisi ni wale ambao hatukuenda mbinguni