Umenisaidia,Yani tabia nyingi umezitaja apo wangu anazo.Jana ndio naona friji katoboa akiwa anatoa nyama hapa natafta fundi😂 nimekaa nae miaka mitano anabadilika taratibu Sana.Ila kwa video hii nimejua Cha kufanya aisee.🥰
2026-09-04 08:33:54
1
🎀momo🎀🪄 :
mimi uyuu🤣🤣🤣 ndomana siwez kuishi na wadada aisee mi mwenyew nna trauma zangu
2026-09-06 10:51:48
0
Easter🌹original cosmetics :
Yaani hii video imenifikia wakati sahihi sasa asante dada