@massoudkhaifan: Wazazi ni miongoni mwa neema kubwa ambazo Allah ametupatia. Katika Ijumaa hii yenye baraka, tuwaombee kwa moyo wa dhati; walio hai Allah awape afya, amani na maisha yenye baraka, na waliotangulia mbele ya haki awasamehe, awarehemu na awape Pepo ya Firdaus. 🤲🏽🤍🌿 Allah awalipe wazazi wetu kwa kila wema waliotufanyia, na atusamehe sisi pamoja nao. Aamiin Ya Rabbal-‘Aalamiin. #jumaamubarak #foryou #fyp #viral

mahdankh🔓
mahdankh🔓
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 14:47:19 GMT
1623
212
3
37

Music

Download

Comments

zuh8677
zuh :
allahumma ameen ya rabbi
2026-09-03 16:58:16
0
wardaty702
ukhty wardaty :
amiiin
2026-09-03 16:22:24
0
To see more videos from user @massoudkhaifan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About