@almecky_tz: Klabu ya Al Ahly Tripoli imewasili salama Zanzibar kuelekea mchezo wa raundi ya kwanza ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) msimu wa 2026/27 dhidi ya KMKM ya Zanzibar. Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume (AAKIA), timu hiyo ilitumia usafiri wa mabasi ya umeme ya ZanBus kuelekea hotelini. #Zanzibar #Tanzania #Habari #Football #Trending

almecky_tz
almecky_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 14:52:40 GMT
44848
1736
49
28

Music

Download

Comments

bayser_83.com
Bayser :
Duh hatari hii nameanza mpaka kukodishwa hii tenda basi wangewachia wenye mabasi ya kawaida tu.Yani serekali icho kidogo cha wananchi wankitaka kwa doge
2026-09-03 18:33:07
16
chubeilah_six
chubeilah_six :
Msichokijua ni kwamba team ikija basi mwenyeji ndie anowajibika kwenye maswala ya usafiri na mengineyo, hivyo basi KMKM ndie mwenyeji wa hii team na ipo chini ya Wizara ya TAMISEMI huenda ikawa imeomba kupitia wizara kupatiwa bus kwaajili ya wageni wao, na hayo mabasi yapo chini ya serikali hivyo hao hawajakodishwa, msisahau ya kwamba tunahost AFCON hivyo ni vyema kuwakirimu wageni kwa mazuri hii nayo itasaidia kukuza utalii
2026-09-03 19:46:06
10
dullymcha
Abdul-Malik :
Ajabu ni nini hapo ?
2026-09-03 15:53:05
4
user667366071
Khuzaimat Hussein :
Yameanza kukodishwa
2026-09-03 17:51:55
1
khamismwinyi772
Kh Ch M :
Na mm nitakodi kwa ajili ya Harusi ya mwanangu ety
2026-09-04 08:13:05
1
09876bgjd
ABDUL :
ZANZIBAR HAKUNA LUXURY BUSS HII SIO SAWA KUWPAKIA KWENYE DALADALA
2026-09-04 01:41:35
1
venmo_tz
Venmotz :
Kadi wanayo??
2026-09-05 08:46:41
0
allyf66
🤡 :
eheeee
2026-09-03 15:51:56
0
mwanaisham8
Mwanaisha M :
kwenye maisha kweli kuna kupanda na kushuka daa
2026-09-04 16:28:34
0
narmin.niroo7
Narmin Niroo :
watanzania tuna ujinga kupitiliza Kwan hao wageni wanajua kama ya dala Dala msisumbue watu hapa muhimu wawe Wana enjoy bas hayo mengine bus luxury wakidieni WAZAZ wenu mana kama wamewaambia km hii ni daladala mtu wa mwazo kuharibu nchi ni mwananchi mwenyew
2026-09-04 16:13:59
0
0.0.3006
0 + 0 = 3 :
Ndo walopelekewa
2026-09-04 14:15:29
0
habib24950
habib24950 :
Atapigwa mtu kama kalala KM KM na Ahly Tripoli..😂😂😂
2026-09-04 11:03:03
0
ahmedjuma8650
ahmed juma :
sasa kweli bada kutumia Costa zetu za kubebea wageni soko letu limekufa sasa kutumika mabus ya kijangwani kubeba tim zinazotoka nje dah
2026-09-04 10:43:22
0
.kenshin50
Chi@o~Ming :
😁😁😁😄
2026-09-04 04:30:22
0
09876bgjd
ABDUL :
WANASHANGAA MBONA WAMETUPAKIA KWENYE DALADALA ZNZ UPUUZI TU HAWAJIELEWI VIONGOZI
2026-09-04 01:42:46
0
young.liy.tz
Young liy Tz :
tunu
2026-09-04 01:19:47
0
totalcrazy3
Low Profile🛞🚨 :
Gari kibao zipo nzuri tu wadau walale njaaa mmekodisha mabus mgawane hamtak wananchi wapate icho kidogo
2026-09-04 01:12:59
0
totalcrazy3
Low Profile🛞🚨 :
Daladala zenu mkaona zamaan mpandishe wenzenu🤣🤣🤣
2026-09-04 01:11:35
0
official_theo_10
Ťħēő🕸️ :
Hy mabus siyapendi
2026-09-03 20:11:11
0
princessziza0
princess zenji :
yaani waja sasa hapo simumepewa tuu taarifa kuwa wametumia hilo Bus jamani
2026-09-03 18:28:54
0
zainabjosephat
mtoto wa mama zainab :
ila wa zanzibar bwana 🤣🤣🤣
2026-09-03 18:18:21
0
khizer.daud0
ķĥáĺèed🦅 :
basi haya
2026-09-03 18:07:15
0
mkojani1234
Iradukunda Nshimiyimana :
Sasa shida nn
2026-09-03 17:45:42
0
buthaynah40
Buthaynah :
Yaani mambo mengine bana 😂 ya hovyo kabisaa ayo mabasi yanatumika kwa wenzetu toka decades zilizopita iwe ajabu 2026 utawala wa AI 😂
2026-09-03 17:26:45
0
user7618872753045
user7618872753045 :
mechi lin na mda gan
2026-09-03 17:21:47
0
To see more videos from user @almecky_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About