@rfi_sw: Wanaharakati wameandamana jijini Nairobi nchini Kenya, kushinikiza kuachiwa huru kwa kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu na mwanasiasa mkongwe wa Uganda Kizza Besigye, waliofunguliwa mashtaka ya uhaini katika nchi zao. Victor Moturi amehudhuria maandamano hayo na kutuandalia taarifa ifuatayo. #kenya #activists#Uganda #tanzania #fypシ゚viralシfypシ゚

RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 03 September 2026 14:57:24 GMT
60474
2626
131
115

Music

Download

Comments

wisperfect7
wisperfect :
naombeni tuungane na kenya jmn
2026-09-03 18:28:30
20
user4701358188529
pooll 23 :
thanks our neighbours Kenya 🇰🇪
2026-09-03 17:29:42
12
shukurusanga406
Shukuru Sanga :
izo nguvu wanazotumia siwangeenda kulima ili unga au mikate ikipanda bei wasiandane na masufuria barabarani
2026-09-03 18:17:03
4
elina.gordon0
Elina Gordon :
Asanteni ndg zetu mungu awabariki
2026-09-03 18:54:02
11
kim.bruno49
SMART DAVO KIM BRUNO🇹🇿🇿🇦 :
Asant wa Kenya 🫡🫡🫡
2026-09-03 20:31:40
3
mwaleleka24
Costar mwaleleka🇹🇿 :
tunashukuru
2026-09-03 18:57:38
3
suleimanali255
Suleiman Ali :
huko huko
2026-09-03 21:17:55
0
sayunimtuta868
mtutasayuni :
asanteni sana namungu awape nguvu
2026-09-03 17:52:45
5
moses.mwambene8
Moses mwambene :
Asanteni sana sana wakanye Mungu awabariki
2026-09-03 18:15:12
6
mchomesimon.mchom
MchomeSimon Mchome :
safi sana sana
2026-09-03 18:09:02
4
richard.magesa5
Richard Magesa :
Kenya imechukua nafasi ya tz kutetea haki za mataifa mengine
2026-09-03 17:54:55
6
user7907421881251
user7907421881251 :
asanteni sana wakenya kwatusaidiya
2026-09-03 19:49:47
4
brightonmakoye
mcolombia miner. :
nice
2026-09-03 15:22:44
5
mbinga.boy0
mbinga Boy :
I love you Kenyan
2026-09-04 04:27:40
1
innosenti.johni
innosenti johni :
tukopamoja
2026-09-03 18:55:47
3
brianking415
BRIAN🍎 :
Mungu wabariki wakenya
2026-09-04 09:53:54
2
user8511402816814
Fungile :
kenya nawakubali
2026-09-04 04:30:16
2
alhajimazunde
Ustadh Alhaj Ibn Ramadhan :
udhalimu haukubaliki
2026-09-04 10:39:54
1
magufuli012
Tunashinda :
Mungu awapenguvu.jamani
2026-09-03 19:27:59
6
unshakengirl1
MouSmiles☺️🌹🌀 :
wakenya wako sawa 🤍
2026-09-04 06:12:40
1
pendoprety8
Pendo-prety😘 :
we love you guys 🥰
2026-09-03 17:42:57
4
dudu.baya54
dudu baya :
good people
2026-09-03 19:45:23
3
mrisho76
🄳🄸🄽🄶🅈🤴🄼🅂🄰🄵🄸👁 :
𝚝𝚣 𝚝𝚞𝚔𝚘 𝚙𝚊𝚖𝚘𝚓𝚊 𝚗𝚊𝚗𝚢𝚒 𝚠𝚊𝚔𝚎𝚗𝚢𝚊 𝚠𝚎𝚗𝚣𝚎𝚝𝚞 𝚗𝚍𝚞𝚐𝚞 𝚣𝚎𝚝𝚞💪💪💪
2026-09-03 19:23:29
3
user9979168045610
mualibwanji :
Asate kenya kwa kumpenda jirani zenu
2026-09-04 01:13:39
2
hiphopnext
Hiphopnext :
Asanteni wakenya sana.Hapa kwetu tupo germanium wote
2026-09-03 18:46:39
3
To see more videos from user @rfi_sw, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About