@ntm_dar:

NEW TESTAMENT MINISTRIES DAR
NEW TESTAMENT MINISTRIES DAR
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 15:01:10 GMT
83261
4290
253
1280

Music

Download

Comments

gullandgrace
Vannah sweet cakes usagara mza :
jmn msitufokeeee maisha niyetuuu live your life u bela watch ua back😂😂😂
2026-09-04 05:38:38
3
nalungwe88
nalungwe :
Amen and Amen mtumishi 🙏🙏🙏
2026-09-04 13:41:19
0
charles.agwanda
Charles Agwanda :
Marriage is not for me
2026-09-04 02:44:14
17
prokenny6
Prokenny :
one of the very underrated man of God, ila huwa una madini sana pastor Dan
2026-09-03 21:53:44
5
stephencrown96
stephencrown96 :
God bless you for putting it out the way it is
2026-09-04 04:16:17
0
janekamandu21
Jane kamandu :
uyu pastor anaongea tu kila mtu aishi vile anaweza tusipangiane
2026-09-04 06:12:26
24
on.the.way745
On the way :
Uko sawa, lakini kumbuka unaongea na Dunia iliyochanganyikiwa😃😃
2026-09-04 09:09:38
11
calebjulius_
CJMusic :
Hivi Hili andiko watu HAWALIFAHAMU AMA? Mwanzo 3:16 [16]Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
2026-09-04 08:19:14
12
martha.tevely
Martha Tevely :
One side mafundisho
2026-09-04 02:33:45
8
eccle_ssia
Ekklesia :
kuzini kuna exception aisee....
2026-09-04 00:20:31
6
dorice024
mama G :
Mmmmh jmn nazidi kuchanganyikiwa
2026-09-04 07:25:35
8
jabalis.daughter6
jabali's daughter :
ukweli usiopingika,,Mungu tujalie wanawake tuukubali huu ukweli ili tusione ndoa kama kifungo🙏
2026-09-04 07:03:42
6
user1922912318134
user1922912318134 :
powerful massage
2026-09-03 20:38:16
1
diana.rogath
diana rogath :
mbona hili la kwangu halina say yoyote lipo tu km nyumbu kila kitu sawa
2026-09-04 08:43:20
1
jaq_navotha
JAQNA COLLECTIONS 🥰 :
Imeeendaaaa 👍🏻ukweli ambao wanawake wengi hatutaki kuusikia
2026-09-04 03:48:01
8
vivana054
vivana❤️ :
masomo niyapendayo👏👏👏 asante baba
2026-09-03 23:09:51
5
user4181596221817
1111111111111111111111111qqq11 :
pameshonwa alafu umepiga hapo hapo good
2026-09-04 04:24:04
5
brandina479
✨ 𝐍𝐝𝐢𝐧𝐚🦋 :
Very true
2026-09-03 23:49:29
1
user6330451275139
kinguluila8888 :
ukiolewa maana yake una milikiwa,ukimilikiwa maana Kila kitu chako ni Mali yake ukiwepo uhuru wako ndio unaishia hapo,😂
2026-09-04 04:11:54
5
spiciceivy
....spice ivy🤑🤑🤑 :
umesema kweli pasta 😂😂
2026-09-04 14:37:33
0
neemam10
@neyla munisi10 :
😂😂😂😂Ndomaana nipo single mpaka leo walah 🤣🤣🤣🤣watoto wa kwanza kuzaliwa hatupendi kutawaliwa jameni 😅😅😅
2026-09-04 09:24:24
0
eunice6051
eunice :
Kama hakupendi una mtii kivipi, Maana wanaume wengi ameacha mjukumu yao, Wafundishe na upande wa Pili ahsante
2026-09-04 06:48:44
2
user8837538178195
mom g :
tuko wapi jamani mm nilisinzia
2026-09-04 06:39:40
2
apostlekakapaulministry0
hon mtume kaka paul :
siku za mwisĥo tutayaona na kuyasikia mengi,,,,au mimi sielewi hapa
2026-09-04 15:51:15
0
christinaamos39
tinahamos25 :
hzo sadaka nilitoa na bwana wangu hakuona😄😄 Mungu ukimtumikia anakufadhili je utatawaliwa na haupendwi kama kristo anavolipenda kanisa?hv vitu vinaendana palipo na upendo automatically utii unakuwepo
2026-09-04 07:47:35
3
To see more videos from user @ntm_dar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About