umeshachelewaaa sasa jana tu nimetoka kubadilishaa
2026-09-03 17:53:34
1
@TAJIRI WA CHUNYA 🥰🥰❤️ :
nisaidie kitu mkuu cm yangu ni s 23 ultra napochukua video kuna setting ambayo ina uquality wa 8k sasa nilirecodia apo video nikitak kupost tiktok inakataa inasema et 8k haiwez ku support shida ni nini apo mkuu?
2026-09-04 04:14:20
0
Ennock Charry :
bro cm yangu WiFi haiwaki tu gafra nawala haifunction chochote ,msaada pls