@bigi_mkatoliki: A-Z challenge hebu tupate ngoma tano bora kati ya hizo tuzifanyie nazo challenge. Tukutane kwenye comment #KIBANGUROMA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️🥰 #shirikisho #mkatolikidaima #catholicfaith #tik_tokkenya🇰🇪🇰🇪 @ST JOHN PAUL II KIBANGU @CatholicSongs🎶 @Alice Katunzi @Pre Padre Mjasiliamali @febq@122❤️ @Zacharia Gerald @@Advocate_Nziku @phina @Missana Samwel.
Big_Mkatoliki
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 15:38:19 GMT
Music
Download
Comments
glory 🍒🪡creation :
wakatoliki tu ndo wamesikiliza mbaka mwisho🤣
2026-09-04 17:40:54
111
Lydia ❤️ :
Uyu ni dictionary kabisaaaa❤️proud to be a catholic 🥰🥰
2026-09-06 06:44:05
10
Malkia Bujune :
hakika ww ni muimbaji Mungu aikumbuke sadaka yko ya uimbaji
Bwana Kuna kitu alikiweka ndani yako aliijua taranta yako UBARIKIWE SANA KAKA
2026-09-03 16:51:25
48
Dee collection :
Gusaneni majeraha, Tembea na mama
2026-09-11 21:10:10
1
Spensioza Anthony :
woooow jaman kaka nicely🥰🥰🥰🥰
2026-09-09 18:30:08
1
Ms Mary :
Bila Kushoka
2026-09-03 16:47:40
7
Agata Ng'adi :
🥰🥰kaka hongera
2026-09-05 19:26:07
1
Mama Francis :
wewe ni mwimbaji hongera sana🙏
2026-09-03 17:35:07
8
Big Tiller. :
1. zaeni matunda mema
2. Ekaristi ni chakula
3. Karibu moyoni mwangu
4. wote wakajwa roho mtakatifu
5. lakini hata sasa asema bwana
2026-09-06 10:52:14
12
Recky miller :
nilijua tuuu lazima uimbe yamba yamba😄
2026-09-03 16:03:07
17
Bàba Paroko :
mkatoriki gonga like hapa
2026-09-06 17:51:59
15
My :
Sauti ya muulizaji ni nani? kama naifahamu vile..😂😂
2026-09-06 17:54:10
2
Mwegelo@caroline :
😂🤣🤣This man😂🤣🤣hongera mkatoliki mwenzetu🤣🤣
2026-09-06 04:55:11
1
Mr Tinya :
1.jambo hili ninalitamani kwa moyo..
2.lakini hata sasa
3.Niiseme ninii ee bwana
4.bali mimi nikutazame uso wako
5.Mahangaikoo yakizidiii
2026-09-03 16:20:48
11
massa 15 :
kaka uko vizuri sana👏👏👏
2026-09-06 19:11:26
1
vero :
Namkubali sanaa huyu mwanakwaya ametisha sana na kuhusu herufi q n x siyo herufi za lugha ya Kiswahili mwamba kama hajui ndo iko ivo
2026-09-04 18:47:03
6
Marcellus :
Hapo kwenye Jambo hili ninalitamani kwa moyo wangu wote
2026-09-09 19:23:22
6
paskapaul paul :
nimejikuta nataka kufanya challeng 🤗 mungu akawe Baraka kwako sikuya Leo mkatoliki 👊🙏
2026-09-05 05:03:07
1
Francy 👨🏾💻 :
Big inaonekana ni shabiki wa Mukasa 😅
2026-09-08 23:19:52
4
Roxery🥰💪 :
jambo hili ninalitamani ....🤣🤣
naipenda sana hiyo nyimbo
2026-09-09 20:23:43
3
Doty......ZURI❤️OUTFITS :
Tumsifu Yesu yesu Kristu
2026-09-11 20:33:13
2
994401 :
honger san nakupend unavyo imba
2026-09-05 19:45:02
1
femam :
A,B,G,F,Z
2026-09-09 20:44:45
1
user4948184858702 :
ongera sana Mungu wambinguni akubarikisan
2026-09-09 01:50:22
1
francymwageni :
f😅 tumepigwa
2026-09-05 21:55:25
1
To see more videos from user @bigi_mkatoliki, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.