He's coming soon king of kings,, Mimi na wewe tutakuwa wapi
2026-09-03 17:51:25
8
gracee :
Name of the song plzz
2026-09-04 07:58:27
2
Melykashii :
Amen🙏🙏May you remove the desire in my heart to want to go back Lord
2026-09-03 18:21:58
2
Scolasticah Mwende Fredrick :
nilimwambia hivi...lakini sikuamini..am loosing faith brothers and sisters..uphold me in prayers
2026-09-03 16:45:39
22
reginagwalupogo :
Mungu usiwahi nirudisha tenaa kwenye zile nyakati ngumu za maisha nibariki siku mpaka siku😭😭😭
2026-09-03 18:32:53
26
Fedelis Mwikali :
plz God
2026-09-03 15:51:42
1
👸♊🎀🥀lady hope🦅🇰🇪🇨🇩 :
blessings swee 🙏
2026-09-03 16:06:23
1
rosesebastian315 :
Mungu Naomba mwisho mwema Ameni
2026-09-03 17:44:54
13
mumbua :
😭😭 Please God I beg
2026-09-03 16:59:55
1
PRISCILLA🦋 :
huu wimbo ukiusikiliza kwa kutulia unaujumbe mzito ee mungu nifanywe mtu mwenye kiu ya kukujua wew
2026-09-04 11:42:30
4
jungle warfare :
Kwanza Kwa ulevi MUNGU Wangu naomba usiwahi ni ruhusu kurudi APO...niliteseka Sana Kwa hio giza
2026-09-03 16:45:43
5
Ivy :
Mimi alikubali nikarudi 😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-04 08:50:45
0
malaika 💕💕💕 :
why ni mm to jameni SI muniombee sina amani Leo 😭😭😭💔💔why mungu ujibu Boaz maombi yake pia mm why ujibu to ama ni maombi atujui kuomba mungu mungu uko Wapi jameni tumana to ata Leo usiku 😭😭
2026-09-04 14:17:41
0
Naya beauty shop :
dear God tafadhali na kuomba usiwai kubali nirudi kwenye umenitoa 🙌🙏
2026-09-03 18:21:43
1
@scholasticambogo :
ninazidi kuona wema wako bwana
2026-09-03 16:57:04
4
Tony Josephines :
Ata Mimi aki God usiwai kubali nirudi mahali umenitoa kwanza year 2024😭😭😭
2026-09-04 12:02:05
1
wambukaris987 :
aki tu God please usikubali nilundi uliko nitoa🙏🙏🙏
2026-09-03 18:51:16
1
user2375004548132 :
Amen
2026-09-03 17:58:30
1
Stella🥰🥰🥰 :
Amina
2026-09-03 18:05:26
2
mercy :
amen
2026-09-03 17:10:01
1
Essy :
amen 🙏🙏🙏🙏
2026-09-03 15:56:08
1
Margaret mwangi :
Amen
2026-09-03 16:38:00
2
gxpa7d1 :
Jina la wimbo
2026-09-03 18:29:54
1
D, Queen 👑 :
jina la nyimbo plz
2026-09-03 17:42:30
0
@scholasticambogo :
Mwenyazi mungu andelea kusema nasi tunaona mema kupitia maombi yako
2026-09-03 16:55:14
3
To see more videos from user @blessingsofficial8, please go to the Tikwm
homepage.