@millardayo_: Shauri la Uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, limeahirishwa tena mpaka kesho September 4 2026 kusikilizwa katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es salaam. Tundu Lissu amezungumza kizimbani mara baada ya kesi kuahirishwa akisema kua yeye sio muoga na hana hatia hivyo yupo tayari kubaki Gerezani mpaka haki itakapotendeka dhidi yake. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 15:45:10 GMT
Music
Download
Comments
Kichuya :
kumbe Millard ata hizi una post mm
2026-09-03 16:36:28
9
imma munisi :
never give up
2026-09-03 17:38:32
0
Wazir :
Wanaomtambua lisu kama rais gonga like hapa
2026-09-03 17:25:55
16
Besthda Aniseth :
Respect 🤛
2026-09-03 16:53:29
1
ayubucharles222 :
perfect
2026-09-03 18:23:24
0
JOHN KINGDOM 👑 :
yaani dunia hii hakuna hata mmoja wa kumuunga mkono kwa kuwa nae gerezani
2026-09-03 15:59:27
2
Helena Mtokambali :
mungu atakupigania
2026-09-03 17:48:44
2
HAJI _MAKUKU 🇹🇿 :
MANDERA WETU WA TANZANIA🥰🥰
2026-09-03 20:41:58
1
juze :
Asante muandishi
2026-09-03 17:10:18
0
suche :
raisi wangu mimi naimani na wewe Rasta
2026-09-03 19:05:38
0
moses john :
daah sitaki kuwachosha maafade wangu
2026-09-03 18:32:11
0
Hadson Fanuel :
mirad Ayo,,Ameanza kuwa Mtu mzima sasa 🤝
2026-09-03 20:06:51
0
issa :
salutes 🫡 🫡 🫡
2026-09-03 17:00:04
0
GeorgeLaizer :
kweli
2026-09-03 20:13:58
0
Michael Majenga :
mwanaumeeee!
2026-09-03 18:26:13
0
Charles moco1 :
raisi wetu mungu akusimamie
2026-09-03 18:11:52
1
ESIPATA MEDIA🌐 :
ndio maana umewazidi fraha na amani ya moyo wanateseka kuliko wewe Mungu akupe nguvu unatupigania sisi watoto wa kimasikini huku chini 😭😭😭
2026-09-03 20:51:12
0
_.Chinoo__ :
aya
2026-09-03 15:49:34
1
Kaju Shekigenda :
hatari sana rais wetu wewe ndoo tunae kutambua
2026-09-03 17:08:33
8
@Munaa😊 :
huyu ana MUNGU hii sio hali ya kawaidaa
2026-09-03 19:32:33
0
NEVER GIVE UP ww ni shujaa
2026-09-03 20:45:08
0
CHUCHE MAKAVELI THUG LIFE🥶 :
free. lissu
2026-09-03 16:23:16
0
Reilycivan🤍🥂 :
mpaka kawa na rasta yani duuu🥲🥲
2026-09-03 18:42:41
0
Charles Mboya :
Millard Ayo,wewe una chembechembe za Serikali..Kuna baadhi ya mambo ya vyama vya upinzani huwa unayapiga mgongo.😒 Sema powa tuu..wote tutakufa..✍🏼
2026-09-03 19:41:36
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.