@seif_sameer_: #tanzania #daressalaam #kenyantiktok🇰🇪 #oman🇴🇲 #zanzibar🇹🇿

🤴SAM BAKHRESA🤴
🤴SAM BAKHRESA🤴
Open In TikTok:
Region: DE
Thursday 03 September 2026 15:46:16 GMT
19215
1755
104
83

Music

Download

Comments

ummu.nuru
ummu nuru :
ume ongeya sahihi Allah akujaze gher Kwa ushauri mzuri
2026-09-03 20:09:35
12
neemaphilimoni481
neema jr :
nikwer
2026-09-04 11:08:47
0
jokha.sarhan4
Jokha Sarhan :
Shukran! Ni kweli kabisa kwanza tukubali tumekuja duniani kwa ajili ya mitihani na kila mtu ana mitihani wako kwani matao dunia kalili starehe ya binadamu ni fupi kabisa na wazungu wakasema no longer at easy hakuna marefu kwenye raha hii imeitwa dunia ni neno la kiarabu maana ni duni unategemeya pahala hapo ni penye raha za kudumu? chochote utakachopata ni mtihani ukipata mali mtihani ukinyimwa mtihani ukipata watoto mtihani ukikosa mtihani jambo kubwa ni kumuamini Allah kwani yeye ndiye wa kutegemeya si kiumbe mwenzako,wala mali,elimu au kujuwa vyote hivyo vinaweza kukuangusha lakini ukiamini Allah hawezi kukutupa kamwe! Allah twakuomba usitunyime rehema zako kwani sisi waja wako ndio tegemeo letu la duniani na akhera twendako Aamin
2026-09-03 19:56:22
5
intore07
Shazma Ibrahim :
Allaah atupe subraa na tusichoke kuombaa Allah atujaliee heri kwani duaa inabadilisha kadar .
2026-09-04 07:34:08
3
salma_baby_
salma_baby_ :
aaaa sam yangu yananizidia bana 😭😭😭😭😭
2026-09-04 12:50:54
0
mamymaysa
maysaa :
a.alaikum check my dm please
2026-09-04 07:21:49
2
hassanbukuru8
Hassain Ally🇴🇲 :
Kama Mimi Mwenye Niko Omani ndo Shift Kwa Hawa Warabu Allah Anipe Moyo WA subra☺️
2026-09-03 23:47:04
1
ashaabdallasalum
Asha Dula :
sahihi amesema kweli ninaushahidi wa hilo
2026-09-04 06:58:00
1
nishababy1900
nishababy :
swadaktaa alhamdulilah
2026-09-04 05:46:10
1
user98615556107656
h3_h5 :
Ya Rab tunakuomba Subra
2026-09-03 18:41:52
2
user6841252633683
user6841252633683 :
uko barabara
2026-09-03 17:05:42
1
cut_mine.02
cut_mine.02 :
A-lhadurillah ALLAH atuhifadhi
2026-09-03 18:05:49
1
user9615223231317
princess kid@n :
inshallah Allah atufanyie wepesi Kwa sote amin
2026-09-03 18:26:00
1
_mumutz_
mumu🦋 :
Sawa
2026-09-03 16:35:28
1
user6209532654
sarah🩵🇧🇮 :
Alhamudulillah
2026-09-03 18:17:36
1
privatus.prince
Privatus null :
Nikweli kabisa
2026-09-03 18:03:53
1
its.you966
nasra🌹🥀 :
kabisa
2026-09-03 16:32:22
1
dorcasmsangi207
Dorcas Msangi :
mungu atusaidie
2026-09-04 13:43:02
0
rayaana14
rayaana14 :
kweli
2026-09-04 08:40:02
1
dullycronaldo
Dully C Ronaldo :
Alhmdllh
2026-09-04 14:30:45
1
mamake.chimami
mamake chimami :
swadakta alhamdulilah washukrilillah
2026-09-04 14:31:02
0
shariff.hasan
Shariff Hasan :
sahihi
2026-09-04 13:44:34
0
user7028100870581
Mrs Armiy🥰 :
inshaallah
2026-09-03 16:10:46
1
To see more videos from user @seif_sameer_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About